Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,536
Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
 
Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
Siyo kweli, game hiyo naiona ni 50/50. Kama siyo matuta, basi atakaeshinda atashinda kwa ushindi mwembamba saana.
 
Sawa tunawasikilizia dk.90 ndio mwamuzi wa mwisho!
 
Wafungwe tu hao mbwa wa zanzibar ,kwa ile mitusi niliyoona kwenye video kwa Mange wanatutukana sie mashoga,machogo wauza njugu na maji kule kwao....pumbavu
 
Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
SIMA VS UROJO NA SITOSHANGAA NIKISIKIA KUWA UROJO UNA VIRUTUBISHO ZAIDI HASA KWA VIKOROMBWEZO VILIVYOWEKWA NA LEO NINA UHAKIKA KUWA UROJO UTAWEKEWA FIGILI FRESH ILI KUSHINDA SIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…