Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakenya wenye hasira ulionao hapo Nairobi hawataingia uwanjani kucheza.Nipo Nairobi wakenya wana hasira sana na uyu Zanzibar.
Gem saa ngapi?Nipo Nairobi wakenya wana hasira sana na uyu Zanzibar.
Nimependa hii kumbukumbu.
Kwani hasira ndo zinachezaNipo Nairobi wakenya wana hasira sana na uyu Zanzibar.
Siyo kweli, game hiyo naiona ni 50/50. Kama siyo matuta, basi atakaeshinda atashinda kwa ushindi mwembamba saana.Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
Wana hasira wanangata au s mpira unachezwa auNipo Nairobi wakenya wana hasira sana na uyu Zanzibar.
Mkuu Mpira SAA ngapi eti.Weka dau
Ndo unaanza sahv mkuu.ni Tisa unusuMkuu Mpira SAA ngapi eti.
SIMA VS UROJO NA SITOSHANGAA NIKISIKIA KUWA UROJO UNA VIRUTUBISHO ZAIDI HASA KWA VIKOROMBWEZO VILIVYOWEKWA NA LEO NINA UHAKIKA KUWA UROJO UTAWEKEWA FIGILI FRESH ILI KUSHINDA SIMANaona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani