Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

Zanzibar watata sana....
1. Wanamiliki wimbo wao wa taifa

2. Wanamiliki bendera yao

3. Wanamiliki bunge lao

Ujinga upo Tanganyika daaa....ccm nuks
 
Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
Dua hii si ya bure. Wewe utakuwa ni beki wa taifa staaz!!!
 
Hu
Hao wakenya wenye hasira ulionao hapo Nairobi hawataingia uwanjani kucheza.

Mpira utaamuliwa na wachezaji 11 wa timu hizi mbili ndani ya dakika 90.

Hizi nyingine ni porojo tu!
Hujui nguvu ya washabiki +hujuma
 
Zanzibar watata sana....
1. Wanamiliki wimbo wao wa taifa

2. Wanamiliki bendera yao

3. Wanamiliki bunge lao

Ujinga upo Tanganyika daaa....ccm nuks
Lakini tunawaamulia chakula na cha kufanya...
 
Tunawaombea upeperushaji mwema wa bendera yetu
Utaifa kwanza mengine badae
Kila la kheri wawakilishi wetu
 
Tunawaombea upeperushaji mwema wa bendera yetu
Utaifa kwanza mengine badae
Kila la kheri wawakilishi wetu

Bera zipo tofauti

Tanganyika hatuna bera yetu wao wanayo ya zanzibar
 
Kenya 1:1 Zanz Dk 89. Uache mpira uitwe mpira. Dadadaeeeek. Kama unabisha waulize wanaocheza mchezo wa kubet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…