Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua hii si ya bure. Wewe utakuwa ni beki wa taifa staaz!!!Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
Hata kwa hujuma watapigwa 4Kwani hasira ndo zinacheza
Hujui nguvu ya washabiki +hujumaHao wakenya wenye hasira ulionao hapo Nairobi hawataingia uwanjani kucheza.
Mpira utaamuliwa na wachezaji 11 wa timu hizi mbili ndani ya dakika 90.
Hizi nyingine ni porojo tu!
Kwa maandishi hayo tu,Washinde hawa vilaza wa bara wajifunze
Wapigwe Tu,.hamna namnaWafungwe tu hao mbwa wa zanzibar ,kwa ile mitusi niliyoona kwenye video kwa Mange wanatutukana sie mashoga,machogo wauza njugu na maji kule kwao....pumbavu
Lakini tunawaamulia chakula na cha kufanya...Zanzibar watata sana....
1. Wanamiliki wimbo wao wa taifa
2. Wanamiliki bendera yao
3. Wanamiliki bunge lao
Ujinga upo Tanganyika daaa....ccm nuks
Kuna baadhi ya wadau humu wanatamani zanzibar ipigwe na kenya ibebe ndoo.....sijajuwa kwanini!!
Ingawa mimi ni m-bara lakini nipo upande ndugu zangu wazanzibar...Mungu isaidie ZNZ!
Tunawaombea upeperushaji mwema wa bendera yetu
Utaifa kwanza mengine badae
Kila la kheri wawakilishi wetu
Mkuu nakuomba tuwaunge mkono tu licha ya hizo tofauti ulizozionaBera zipo tofauti
Tanganyika hatuna bera yetu wao wanayo ya zanzibar
Mkuu nakuomba tuwaunge mkono tu licha ya hizo tofauti ulizoziona
Eh mama yanguKenya 1:1 Zanz Dk 89. Uache mpira uitwe mpira. Dadadaeeeek. Kama unabisha waulize wanaocheza mchezo wa kubet.