Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
Eti wapigwe goli 4. Hapo Ndiyo utajuwa kwanini kwa Mungu siyo mzungu.
 
Hapa sasa ni Bahati. Matuta huwaga hayana mwenyewe. Mungu Ibariki Zanzibar...
 
Nilisema Zanzibar atapigwa 4,,tayari kapigwa 2,,bado mawili mengine kwenye penalties
 
Hao wakenya wenye hasira ulionao hapo Nairobi hawataingia uwanjani kucheza.

Mpira utaamuliwa na wachezaji 11 wa timu hizi mbili ndani ya dakika 90.

Hizi nyingine ni porojo tu!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umenichekesha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…