FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Eti wapigwe goli 4. Hapo Ndiyo utajuwa kwanini kwa Mungu siyo mzungu.Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani