Zanzibar heroes yaihujumu Serengeti boys kuelekea mechi yao

Zanzibar heroes yaihujumu Serengeti boys kuelekea mechi yao

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Mambo si mambo huku wameshikwa wazanzibar watatu na makomando wa Serengeti boys wakinyunyizia au kupulizia vimiminika kwenye vyumba vya Serengeti boys
Walipodakwa wakaanza kuongea lafudhi ya kisukuma ili wasionekane km watu wa vusiwani
Alihoji mdau mmoja kwanini aongee lafudhi ya kisukuma wakati wanasijida usoni na wanaongea lafudhi imenyooka?

Walipobanwa zaidi walitaka kukimbia ila bado walikamatwa Mara moja

Viongozi wa Serengeti boys wanawalazimisha waende wakanyunyize pia Hiyo dawa kwa wachezaji wa Zanzibar

Joto linazidi kupanda vurugu hii inaweza kuhatarisha hata uwepo muungano maana Hawa wazanzibar wanaropoka sana wasipopewa kichapo sijui
 
Bila picha video au picha haya ni majungu tu kama majungu mengine.

...........Wasukuma wa dini ile hawezi kuwa na sijida usoni?
 
Back
Top Bottom