Hicho chakula waluchotoa msaada waliiba wapi wakati Zanzibar haijawahi kujitosheleza kea chakula hutegemea chakula toka nje ya nchi ikiwemo.kutoka Tanzania bara
Hahaha mkuu mashelsheli umenikumbusha morotownLabda nazi,mabungo na mashelisheli
Hii ni donor kantrii
🤣 🤣 🤣 🤣Leo hii Sisi ndo tunapewa Misaada Looh
Sisi Africa tulikosea Mahali na si ajabu tunaendelea kukosea