ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa nini unafikiri ni jambo zuri kubinafsisha hospital??My Take
Afadhari jambo Hilo liketokea Zanzibar ila lingetojea huku Bara Hakuna Kauli au matusi Wadanganyika wangeacha kumshambulia Rais kisa tuu ni wa pande Ile.
Nawapongeza Wazanzibar Kwa kuwaza Nje ya Box Ili kukabiliana na utaoaji Huduma usio rafiki.
Lakini pia hakikisheni Ajira zinasimamiwa na sekta binafsi pia Ili Serikali ibakie kusimamaia viwango vya taaluma na utoaji Huduma.ππ
View: https://www.instagram.com/p/C-vC1EfCqnP/?igsh=bmQ2em8yZG83M3h5
Kuongeza ufanisi wa Huduma.Kila mtu anafahamu kwmaba hospital za Umma ni chaguo la pili kama huna pesa unless Huduma husika ikosekane private hospitalsKwa nini unafikiri ni jambo zuri kubinafsisha hospital??
Kwa sababu Masanja anakemea mapepo ndio mnaona hospitals zibinafsishwe πΌKuongeza ufanisi wa Huduma.Kila mtu anafahamu kwmaba hospital za Umma ni chaguo la pili kama huna pesa unless Huduma husika ikosekane private hospitals
Unafikiri nini kinasababisha ufanisi kuwa chini kwa hospitali za umma?!Kuongeza ufanisi wa Huduma.Kila mtu anafahamu kwmaba hospital za Umma ni chaguo la pili kama huna pesa unless Huduma husika ikosekane private hospitals
Hospital bora zaidi duniani kote ni za umma, hata katika nchi za ubepari uliokomaa na kupitilizaKuongeza ufanisi wa Huduma.Kila mtu anafahamu kwmaba hospital za Umma ni chaguo la pili kama huna pesa unless Huduma husika ikosekane private hospitals
Hili ni kosa kubwa sana sana , wala sio jambo la kushabikia , walipa kodi, afya zao zinakua mikononi mwa watu binafsi ,mbona hii ni kituko aiseeMy Take
Afadhari jambo Hilo liketokea Zanzibar ila lingetojea huku Bara Hakuna Kauli au matusi Wadanganyika wangeacha kumshambulia Rais kisa tuu ni wa pande Ile.
Nawapongeza Wazanzibar Kwa kuwaza Nje ya Box Ili kukabiliana na utaoaji Huduma usio rafiki.
Lakini pia hakikisheni Ajira zinasimamiwa na sekta binafsi pia Ili Serikali ibakie kusimamaia viwango vya taaluma na utoaji Huduma.ππ
View: https://www.instagram.com/p/C-vC1EfCqnP/?igsh=bmQ2em8yZG83M3h5
My Take

Maana yake viongozi waliopo hawawezi kazi ila watu binafsi ndiyo wenye uwezo mkubwa zaidi wa kusimamia huduma za jamii, nashauri hata hiyo serikali wapewe haohao waiongozeAkiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024 Mazrui amesema Wizara ya Afya imeingia makubaliano maalum ya uendeshaji na usimamizi na Sekta binafsi Ikiwemo EHN na TCL na kusisitiza kuwa Wizara ya Afya huo sio ubinafsishaji bali ni kuongeza ufanisi wa Hospitali hizo ikiwemo za Wilaya na za Mikoa ili Wananchi wapate huduma bora katika Visiwa hivyo ambako kwa miaka mingi huduma za Afya za Zanzibar ni bure kwa vipimo vyote huduma kubwa na ndogo.
Ndo hivyo , hili ni kosa ka karne , kwa nini jeshi pamoja na kuwepo hospital za umma ila bado yupo na hospital zake, hii ipo na maana sana kinchiWatakao umia zaidi ni wananchi masikini tu.wao wachekelee tu Kwa Sasa lakini huko mbeleni watalia na kusaga meno
Yaani sikitu kizuri hata kwa dakika 1, yaani kama serikari ikianza kuingiza hiyo dira hata hiyo bima ya afya kwawote iliyoanza Zanzibar itaangikia pua. Hapa tulipofikia tumeshaona effects za kuigeuza afya biashara na nyie mnazidi kusindika hicho kitu, aisee aisee. Hao wenye hospitali watakuja na cost implications za kuwaletea faida wao kiasi ambacho watautafuna huo mfuko wa bima ya afya wa wote mpaka mshangae. Kwasababu wanajua wananchi hawana pakukimbilia wakiamua kupandisha huduma zao basi mfuko utatafunwa vibaya. Umeona Aga Khan kasitisha kupokea bima ila unajua gharama za kutibiwa Aga khan, ni 6,000 000 per one caesarean section wakati hio operesheni kwa laki 3 tu mtoto mama anaweza jifungua. Hapo ndio unaona Muhimbili inasema itacover gape la Aga khan kwasababu ipo chini ya serikari na imeboreshwa polepole stepwise. Yaani mnatoa mguu kwenye kuwadhibiti watoa huduma, watawatafuna na kuumaliza huo mfuko vibaya. Ni vema ukaboresha hospitali za serikari polepole basing on the level of the hospital ila sio kuzibinafsisha. Aisee, yetu macho.Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024 Mazrui amesema Wizara ya Afya imeingia makubaliano maalum ya uendeshaji na usimamizi na Sekta binafsi Ikiwemo EHN na TCL na kusisitiza kuwa Wizara ya Afya huo sio ubinafsishaji bali ni kuongeza ufanisi wa Hospitali hizo ikiwemo za Wilaya na za Mikoa ili Wananchi wapate huduma bora katika Visiwa hivyo ambako kwa miaka mingi huduma za Afya za Zanzibar ni bure kwa vipimo vyote huduma kubwa na ndogo.
"Tumebaini Wananchi wengi wanapenda kwenda Hospitali binafsi na wanapoteza fedha nyingi, wengine hawana wanaenda kwa Wafadhili wasaidiwe, kuwaondolea shida hiyo Wananchi sisi tunawalipa Sekta binafsi kwa niaba yao ili wapate huduma matibabu bila ya malipo, Watu wanatibiwa na kupata dawa zote na vipimo bila ya malipo yeyote na Serikali inawalipa Sekta binafsi wanaotoa huduma hizo" #Millard AyoUPDATES
My Take
Afadhari jambo Hilo liketokea Zanzibar ila lingetojea huku Bara Hakuna Kauli au matusi Wadanganyika wangeacha kumshambulia Rais kisa tuu ni wa pande Ile.
Nawapongeza Wazanzibar Kwa kuwaza Nje ya Box Ili kukabiliana na utaoaji Huduma usio rafiki.
Lakini pia hakikisheni Ajira zinasimamiwa na sekta binafsi pia Ili Serikali ibakie kusimamaia viwango vya taaluma na utoaji Huduma.ππ
Hii sio sawa kbxa lazimaWaziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024 Mazrui amesema Wizara ya Afya imeingia makubaliano maalum ya uendeshaji na usimamizi na Sekta binafsi Ikiwemo EHN na TCL na kusisitiza kuwa Wizara ya Afya huo sio ubinafsishaji bali ni kuongeza ufanisi wa Hospitali hizo ikiwemo za Wilaya na za Mikoa ili Wananchi wapate huduma bora katika Visiwa hivyo ambako kwa miaka mingi huduma za Afya za Zanzibar ni bure kwa vipimo vyote huduma kubwa na ndogo.
"Tumebaini Wananchi wengi wanapenda kwenda Hospitali binafsi na wanapoteza fedha nyingi, wengine hawana wanaenda kwa Wafadhili wasaidiwe, kuwaondolea shida hiyo Wananchi sisi tunawalipa Sekta binafsi kwa niaba yao ili wapate huduma matibabu bila ya malipo, Watu wanatibiwa na kupata dawa zote na vipimo bila ya malipo yeyote na Serikali inawalipa Sekta binafsi wanaotoa huduma hizo" #Millard AyoUPDATES
My Take
Afadhari jambo Hilo liketokea Zanzibar ila lingetojea huku Bara Hakuna Kauli au matusi Wadanganyika wangeacha kumshambulia Rais kisa tuu ni wa pande Ile.
Nawapongeza Wazanzibar Kwa kuwaza Nje ya Box Ili kukabiliana na utaoaji Huduma usio rafiki.
Lakini pia hakikisheni Ajira zinasimamiwa na sekta binafsi pia Ili Serikali ibakie kusimamaia viwango vya taaluma na utoaji Huduma.ππ
Sijapata kuona majuha kama hawa. Waziri engineer mazrui naye kawa juha.Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024 Mazrui amesema Wizara ya Afya imeingia makubaliano maalum ya uendeshaji na usimamizi na Sekta binafsi Ikiwemo EHN na TCL na kusisitiza kuwa Wizara ya Afya huo sio ubinafsishaji bali ni kuongeza ufanisi wa Hospitali hizo ikiwemo za Wilaya na za Mikoa ili Wananchi wapate huduma bora katika Visiwa hivyo ambako kwa miaka mingi huduma za Afya za Zanzibar ni bure kwa vipimo vyote huduma kubwa na ndogo.
"Tumebaini Wananchi wengi wanapenda kwenda Hospitali binafsi na wanapoteza fedha nyingi, wengine hawana wanaenda kwa Wafadhili wasaidiwe, kuwaondolea shida hiyo Wananchi sisi tunawalipa Sekta binafsi kwa niaba yao ili wapate huduma matibabu bila ya malipo, Watu wanatibiwa na kupata dawa zote na vipimo bila ya malipo yeyote na Serikali inawalipa Sekta binafsi wanaotoa huduma hizo" #Millard AyoUPDATES
My Take
Afadhari jambo Hilo liketokea Zanzibar ila lingetojea huku Bara Hakuna Kauli au matusi Wadanganyika wangeacha kumshambulia Rais kisa tuu ni wa pande Ile.
Nawapongeza Wazanzibar Kwa kuwaza Nje ya Box Ili kukabiliana na utaoaji Huduma usio rafiki.
Lakini pia hakikisheni Ajira zinasimamiwa na sekta binafsi pia Ili Serikali ibakie kusimamaia viwango vya taaluma na utoaji Huduma.ππ
Kuna harufu ya hela za kugharamia hayo matibabu bure zitatoka Tanganyika...wakati watanganyika wake zao wajawazito kupewa vidonge vya Fifo mtihani, wanaambiwa vimeisha wakanunue.Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024 Mazrui amesema Wizara ya Afya imeingia makubaliano maalum ya uendeshaji na usimamizi na Sekta binafsi Ikiwemo EHN na TCL na kusisitiza kuwa Wizara ya Afya huo sio ubinafsishaji bali ni kuongeza ufanisi wa Hospitali hizo ikiwemo za Wilaya na za Mikoa ili Wananchi wapate huduma bora katika Visiwa hivyo ambako kwa miaka mingi huduma za Afya za Zanzibar ni bure kwa vipimo vyote huduma kubwa na ndogo.
"Tumebaini Wananchi wengi wanapenda kwenda Hospitali binafsi na wanapoteza fedha nyingi, wengine hawana wanaenda kwa Wafadhili wasaidiwe, kuwaondolea shida hiyo Wananchi sisi tunawalipa Sekta binafsi kwa niaba yao ili wapate huduma matibabu bila ya malipo, Watu wanatibiwa na kupata dawa zote na vipimo bila ya malipo yeyote na Serikali inawalipa Sekta binafsi wanaotoa huduma hizo" #Millard AyoUPDATES
My Take
Afadhari jambo Hilo liketokea Zanzibar ila lingetojea huku Bara Hakuna Kauli au matusi Wadanganyika wangeacha kumshambulia Rais kisa tuu ni wa pande Ile.
Nawapongeza Wazanzibar Kwa kuwaza Nje ya Box Ili kukabiliana na utaoaji Huduma usio rafiki.
Lakini pia hakikisheni Ajira zinasimamiwa na sekta binafsi pia Ili Serikali ibakie kusimamaia viwango vya taaluma na utoaji Huduma.ππ
Zanzibar inastarehe kwa jasho na damu za watanganyikaZanzibar wana raha sana. Wacha wajidai wadau wa Kizimkazi