Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma

Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma

Ndo hivyo , hili ni kosa ka karne , kwa nini jeshi pamoja na kuwepo hospital za umma ila bado yupo na hospital zake, hii ipo na maana sana kinchi

Unakabidhi hosp za umma kwa mtu binafsi ,siku moja anaamuka hasubui anafunga huduma unafanyaje ,au anakuja na masharti magum ya kuumiza wananchi ,
Alietoa wazo hilo zanzibar hana hakili
Aio good move, maana agakhan wametoka kusitisha huduma za nhif watu wameshikana mashati, mwisho wa siku Muhimbili wakasema wao wataziba gap la huduma kwa hao waliokua wanaenda aghkhan
 
Wanzibar wamenusulika kwenye bandari sasa sasa hospital za umma zinauzwa kwa lugha ya kubinafishiswa , Rais mwinyi kwa hili ameshilikishwa au? Hii ni hatari sana , na hii kituko kiingie kwenye kitabu za Guinness, ujinga gani huu.
 
..WATANGANYIKA tunaomba tusinyimwe ajira ktk sekta ya Afya Zanzibar.
Nafikili hupo umuhim wa Rais ajae kuja na katiba bora maana kwa ccm ya sasa haiwezi
1. Hakikisha Zanzibar wanapata kile wakipendacho .
2.Tanganyika tumechoshwa na mazingaombe ya Zanzibar ili hali ni taifa moja , ni wakati kuweka mambo kikatiba sawa kila mmoja kula kwa kamba yake .

Zanzibar wapewe nchi yao ,na Tanganyika ipatikane , mbele ya safari wakileta za kuleta tunaichukua ,uwezo upo ila nia haipo maana ni ndugu
 
Hii Sera natamani ije Tanganyika.Kuna efficiency IPO sekta binafsi hutapata Kwa sekta ya umma.Tuache kulialia na Ujamaa uchwara uliojificha kwene binafsi.Eti duniani hospitali Bora ni za umma--Taja Nchi 5 Tu zenye Huduma Bora za umma.Nilifanya Kazi Hospitali za umma najua Jinsi urasmu unavyoharibu Huduma.Unahitaji bidhaa,mgonjwa anatakiwa afanyiwe operation,inachukua siku 3 Hadi 7 ndiyo bidhaa ipatikane.Wakati bidhaa inapatikana wahufumu wengine wapo safari.Mgonjwa anaahirishiwa Huduma.Umma ubaki na Hospitali za Jeshi na za Usalama,kama ile ya Mzena.After all watu hawajui,Madawa na Vifaa Tiba vinatoka sekta binafsi,na bajeti yake ni kubwa,sasa unachoogopa ni nini?
 
Leo sitotoa salam kwa member wa Jf , maana uwepo wa Mungu upo juu yetu sana kama wana jf

Kwenye mada
At ndugu Serikali ya Zanzibar imeruhusu ubinafishishaji hospital za umma kama sio kuziuza kwa watu binafsi.

Mie Mtanganyika ila pia mie Mzanzibar maana hii ni nchi moja kwa mjibu wa katiba yetu ya JMT, tueshimihane na kama hutaki nitakulazimisha kuheshimiana chini ya katiba hii ya JMT

Mnawezaje ruhusu afya ya umma kuwa chini ya walangunzi? Watangulizi wako wote hawakuliona hili wewe tu ndo umeliona?

Wajua madhara yake mbele au kisa waweza tibiwa popote pale upatakapo kwa kodi za wananchi kwa kua hu rais?

Huu ni ulangunzi mkubwa tangu uongozi wote uliokutangulia wahi fanya sio bara au visiwani, na kama ni hujuma kwako jitokeze wenda ukaeleweka.

Sitisheni mara mara moja ubinafishaji wa hospitali za Zanzibar za umma, si ombi ni amri.

Thanks

PIA SOMA
- Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma
 
Thibitishaaaa mkuu hati za mauziano kati ya rais na mnunuajii😂😂😂

Yaan mpk hawa wazazibar wawili wamalize awamu zao mbona unaweza Kuta mpk cc Wana nchi tumeuzwa maana c poaaa..

N huzunii😔
 
Kwani Wizara ya Afya Zanzibar ni ya muungano au ina uwezo wa kujiamulia shughuli zake yenyewe?
Kama inaweza, basi kaa kwa kutulia .
 
Sijapata kuona majuha kama hawa. Waziri engineer mazrui naye kawa juha.
Badala ya serikali kuziendesha hizo hospitali leo tunawapa watu wengine kuziendesha na Serikali inazilipa hizo campony.
Ina onesha serikali haiwezi kuendesha chochote.
wamekwisha. mwinyi kesha pata donge lake.

MKuu mazurui ni helpless, hiyo ni sera ya CCM.
 
Back
Top Bottom