Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Aio good move, maana agakhan wametoka kusitisha huduma za nhif watu wameshikana mashati, mwisho wa siku Muhimbili wakasema wao wataziba gap la huduma kwa hao waliokua wanaenda aghkhanNdo hivyo , hili ni kosa ka karne , kwa nini jeshi pamoja na kuwepo hospital za umma ila bado yupo na hospital zake, hii ipo na maana sana kinchi
Unakabidhi hosp za umma kwa mtu binafsi ,siku moja anaamuka hasubui anafunga huduma unafanyaje ,au anakuja na masharti magum ya kuumiza wananchi ,
Alietoa wazo hilo zanzibar hana hakili
Kivipi?Hii sio sawa kbxa lazima
kuna vigogo wamesha tengeneza upigaji wameona njia rahisi ni kubinafsisha mali za umma
Nafikili hupo umuhim wa Rais ajae kuja na katiba bora maana kwa ccm ya sasa haiwezi..WATANGANYIKA tunaomba tusinyimwe ajira ktk sekta ya Afya Zanzibar.
Sijapata kuona majuha kama hawa. Waziri engineer mazrui naye kawa juha.
Badala ya serikali kuziendesha hizo hospitali leo tunawapa watu wengine kuziendesha na Serikali inazilipa hizo campony.
Ina onesha serikali haiwezi kuendesha chochote.
wamekwisha. mwinyi kesha pata donge lake.
Kuna harufu ya hela za kugharamia hayo matibabu bure zitatoka Tanganyika...wakati watanganyika wake zao wajawazito kupewa vidonge vya Fifo mtihani, wanaambiwa vimeisha wakanunue.