Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?
Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."