Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Mwanaume kumchua mapaja mwanaume mwenzako si ndio ushetani wenyewe.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari binti, njoo nikuchuwe pajaNimeshindwa kuelewa😀
Nahitaji sana hiyo service. Utakuwa umefanya jambo la maanaHabari binti, njoo nikuchuwe paja
Ushetani upi?Mwanaume kumchua mapaja mwanaume mwenzako si ndio ushetani wenyewe.!
Siyo mambo ya ku edit template ya barua/taarifa zilizopita?Zanzibar kiswahili wanakielewa sidhani kama watakuwa wamekosea pengine hilo neno Lina maana nyingi wataalam wa kiswahili tunaomba ufafanuzi.
Unazungumzia Mila ya wayahudiChama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?
Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
😅😅😅😅😅😅😅😅Mwanaume kumchua mapaja mwanaume mwenzako si ndio ushetani wenyewe.!
Wameona wachezaji wao wengi ni mabwabwa na mapungaChama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?
Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Pumbavu sana, unaongelea pemba gani?Pemba ndiyo kitovu cha ushogo na ndiko misikiti iliko jaa
Shekhe hata hili unataka tubishane ebu kuwa serious 😁😁😁😁Pumbavu sana, unaongelea pemba gani?
Labda huko kwenu kuna kanisa linaitwa pemba ndo linafungisha ndoa za mashoga.
Jmn picha ya rahman hatutaki porojoMungu wa kike Mungu mwezi ila mnasema hana mtoto
Ili muipigie nyeto?Uzushi uepukeni tunataka picha ya rahma
Kwa iyo unamejaa kijiba Cha moyo kuona kina fey watafaid sana mapaja yao yakichuliwa na Bi.Rahma Munir ??? Usiwe ivyo acha Wana wawe wanafaidChama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros