Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi.
Fatuma alikuwa mtoto wa mfalme wa Unguja, Yusuf. Utawala wa Fatuma ulikuwa katika kipindi ambacho wareno walikuwa wanataka kuiteka Afrika Mashariki naye alikuwa upande wa wareno.