Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kulikuwa na watu, walio kuwa na dini na mfalme wao... baadhi ya majina ya ndizi zao ilikuwa ni sukari, mkono wa tembo......Anhaa, kumbe Zanzibar ilikuwa na watu kabla ya mwarabu Seyyid Said kuja ???
Hahahaha, utenzi wa nani huu ???Kulikuwa na watu, walio kuwa na dini na mfalme wao... baadhi ya majina ya ndizi zao ilikuwa ni sukari, mkono wa tembo......
Safari za Marco polo carne ya 16Hahahaha, utenzi wa nani huu ???
Naam, naam uko vizuri mkuu.Safari za Marco polo carne ya 16
Hahahaha basi tuu ndalichako na mtihani wake wa 2012 alituweka banch bila sababuNaam, naam uko vizuri mkuu.
Kongole......
Kama unaukumbuka hadi huu utenzi, basi shule ulisoma vizuri. Sema nini mkuu, usikate tamaaa!Hahahaha basi tuu ndalichako na mtihani wake wa 2012 alituweka banch bila sababu
Amina mkuu wanguKama unaukumbuka hadi huu utenzi, basi shule ulisoma vizuri. Sema nini mkuu, usikate tamaaa!
Zanzibar, Pemba and Mafia were trading outposts since Roman times. Please, refer to the ancient city of Raphta in the ancient country of Azania believed to be the Mafia of today.Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi.
Fatuma alikuwa mtoto wa mfalme wa Unguja, Yusuf. Utawala wa Fatuma ulikuwa katika kipindi ambacho wareno walikuwa wanataka kuiteka Afrika Mashariki naye alikuwa upande wa wareno.