Zanzibar ina waziri wa fedha

malipula

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
323
Reaction score
120
Wandugu naomba kuelimishwa hivi Zanzibar inaweza kuwa na waziri wake wa fedha?
Source:Michuzi blog
 
Mkuu huu muungano ulishaambiwa ni wa aina yake duniani! z'bar hakuna Treasury wala Central bank lakini kuna Minister for Finance!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…