malipula JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 323 Reaction score 120 Sep 4, 2013 #1 Wandugu naomba kuelimishwa hivi Zanzibar inaweza kuwa na waziri wake wa fedha? Source:Michuzi blog
K K A B U R U JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 891 Reaction score 1,199 Sep 5, 2013 #2 Mkuu huu muungano ulishaambiwa ni wa aina yake duniani! z'bar hakuna Treasury wala Central bank lakini kuna Minister for Finance!
Mkuu huu muungano ulishaambiwa ni wa aina yake duniani! z'bar hakuna Treasury wala Central bank lakini kuna Minister for Finance!