Mbona hats UK hii mambo ipo? Muwe mnafanya utafitiKuna kila dalili kuwa wazanzibar kwa umoja wao wanashindwa kudai kujitoa kwenye Muungano kwa njia za uwazi. Kujitoa kwenye ligi ya Muungano (super league), kuomba na kupata uwanachama wa CECAFA na sasa CAF na baafaye FIFA ni uthibitisho kuwa huenda mawazo yao ni kuzidi kuwa huru zaidi huko siku za mbeleni kwa kuanzia na michezo kisha yale mengine magumu kutamkika.
Zanzibar wana wimbo wao wa taifa.Hivi watakapocheza mechi ya kimataifa watapigiwa wimbo gani wa taifa?
Ndo tumeanza hivo, tuungeni mkono ili tusiwanyonyeWajitenge tu. Ili tupime mizani
Hakuna namna wanatunyonya sana
Tunao wimbo wetu kabla hata ya mapinduziHivi watakapocheza mechi ya kimataifa watapigiwa wimbo gani wa taifa?
zanzibar ina wimbo wake wa taifaHivi watakapocheza mechi ya kimataifa watapigiwa wimbo gani wa taifa?
Usisahau utafutaji wa mafuta na OICSio kweli kwamba Zanzibar kupata uwakilishi CAF ni kujitenga kupitia michezo, nchi ya Wales ipo kwenye muungano wa Great Britain pamoja na Scotland lkn zote zina uwakilishi FIFA na bado hazijajitenga, visiwa kama Samoa ni sehemu ya Marekani lkn kimichezo vinajitegemea, so katafute hoja nyingine ya maana
Wimbo, katiba, mafuta na....!?Sio kweli kwamba Zanzibar kupata uwakilishi CAF ni kujitenga kupitia michezo, nchi ya Wales ipo kwenye muungano wa Great Britain pamoja na Scotland lkn zote zina uwakilishi FIFA na bado hazijajitenga, visiwa kama Samoa ni sehemu ya Marekani lkn kimichezo vinajitegemea, so katafute hoja nyingine ya maana
Hata umeme hawalipi kwa makusudi ili wakatiwe wapate sababu ya...Nilivyoona furaha ya wajumbe wa ZNZ waliotoka CAF na kusikia maoni yao walipohojiwa na waandishi wa habari, bila shaka ndugu zetu wazanzibari muungano hawautaki ila wamebanwa na wapo katika muungano kwa kushurutishwa.
Kwa wazanzibari kwao kuwa mwanachama wa CAF na kisha FIFA wakifanikiwa itakua ni ushindi mkubwa sana katika kudai sovereignty yao.
Kutokana na mazingira na kauli mbalimbali za viongozi wao wa upinzani na chama tawala, bila shaka Tanganyika tunawahitaji zaidi Zanzibar kuliko wao wanavyotuhitaji. Nimetembelea ZNZ zaidi ya mara kumi, wazanzibari muungano hawautaki. wanaosema wanautaka muungano wanadhihirisha vinywani tu ili kuungamkono msimamo wa chama chao CCM ila na wao ndani ya mioyo yao msimamo wao ni tofauti, hawataki kuonekana wasaliti.
Naamini uhuru wa kutambulika ktk michezo kama nchi huru ni ushindi na hatua kubwa kwa wazanzibari. Sasa wanajipa moyo kupata uhuru wa kisiasa, kukiwa na tume huru ya kusimamia uchaguzi na demokrasia ya kweli bila kutumia nguvu za kijeshi, wakiulizwa kuhusu muungano bila shaka ndio utakua mwisho.