Zanzibar inajitenga kupitia michezo?

Naskia tukitengana tunatakiwa tuwape kiasi Fulani cha ardhi ya Tanganyika maana inasemekana kuna kipande alinunua sultani enzi za ukoloni hivi ni kweli au longolongo,kama hakina ardhi wanayodai basis mi sioni umuhimu wa huu muungano.
 
Mbona hats UK hii mambo ipo? Muwe mnafanya utafiti
Utafiti upi, kwani England inajiwakilisha kama Great Britain? Haya maajabu tanganyika eti ndio Tanzania, Zanzibar ina haki zote za kupata u wanachama kwa sababu suala la michezo sio la muungano na lipo kikatiba. Sijui inakuwaje caf kuipa Tanzania u wanachama
 
Wajitenge tu. Ili tupime mizani
Hivi kuna mtoto wa miaka 50 bado anategemea mzee wake?[emoji15]
Kama zanzibar inategemea Tanganyika kwanini wakati wa uchaguzi 25 October walitumiwa, majeshi ya Muungano na sio wa KMKM (smz)?[emoji15]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sio dhambi hata kidogo, hata Scotland imo ktk muungano wa UK (Uingereza) lakini bado ni mwanachama wa FIFA
 
Hivi kuna mtoto wa miaka 50 bado anategemea mzee wake?[emoji15]
Kama zanzibar inategemea Tanganyika kwanini wakati wa uchaguzi 25 October walitumiwa, majeshi ya Muungano na sio wa KMKM (smz)?[emoji15]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…