Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti upi, kwani England inajiwakilisha kama Great Britain? Haya maajabu tanganyika eti ndio Tanzania, Zanzibar ina haki zote za kupata u wanachama kwa sababu suala la michezo sio la muungano na lipo kikatiba. Sijui inakuwaje caf kuipa Tanzania u wanachamaMbona hats UK hii mambo ipo? Muwe mnafanya utafiti
Hivi kuna mtoto wa miaka 50 bado anategemea mzee wake?[emoji15]Wajitenge tu. Ili tupime mizani
Ulitegemea Subalheri mpenzi waonaje hali yako? Zanzibar wanayo wimbo wa taifa.Hivi watakapocheza mechi ya kimataifa watapigiwa wimbo gani wa taifa?
Kwani Zanzibar ni taifa?Ulitegemea Subalheri mpenzi waonaje hali yako? Zanzibar wanayo wimbo wa taifa.
Uliza Yanga na simbaKwani Zanzibar ni taifa?
SureHivi kuna mtoto wa miaka 50 bado anategemea mzee wake?[emoji15]
Kama zanzibar inategemea Tanganyika kwanini wakati wa uchaguzi 25 October walitumiwa, majeshi ya Muungano na sio wa KMKM (smz)?[emoji15]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Znzbr ina wimbo wake wa taifa na bendera wanayoHivi watakapocheza mechi ya kimataifa watapigiwa wimbo gani wa taifa?
Ndo mana anko Magu haukati eti..... Lakini na SMZ wanafanya makusudi kutokulipaHata umeme hawalipi kwa makusudi ili wakatiwe wapate sababu ya...