Zanzibar inasubiri idhini ya Samia kuagiza chanjo ya COVID-19

Zanzibar inasubiri idhini ya Samia kuagiza chanjo ya COVID-19

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa.

My Take: Bado naona umuhimu mkubwa wa katiba mpya kuufuma upya huu muungano
 
Back
Top Bottom