Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa.
My Take: Bado naona umuhimu mkubwa wa katiba mpya kuufuma upya huu muungano