Wawarudishe tu na wasivuke tena bahari kuja DSM maanake nitalipiza kisasi kwa utumwa wa ndugu zangu walio huko!
Ndo maana yake, we huoni mkulu na timu yake wako huko? Hukuwaona jana walivyokuwa wanashangaa kasri?
NIMEKUMBUKA ULE MSEMO WA ''KUNIVIKA KILEMBA CHA UKOKA''.......NB: ukoka ni aina ya majani
Nani katika hao waliopo kwenye hiyo picha ni baba mzazi wa Seif shariff Hamad?
Ndo maana yake, we huoni mkulu na timu yake wako huko? Hukuwaona jana walivyokuwa wanashangaa kasri?