Zanzibar inataka kurudisha hawa jamaa?

Zanzibar inataka kurudisha hawa jamaa?

Saracen

Senior Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
145
Reaction score
63
MajidBinSaid1856-1870.jpg
 
Ndo maana yake, we huoni mkulu na timu yake wako huko? Hukuwaona jana walivyokuwa wanashangaa kasri?
 
Sasa kama wanataka kuwarudisha si kivyao.Kwanza alie baki hai ni mmoja tu wote wameshazikwa mpaka wajukuu na hawapo tena katika system sasa hofu yako wewe ni kitu gani.Tuangalie yakwetu huku jinsi ya kutatua matatizo yetu yanayoikabili taifa letu.
 
iam sure ile gold aliyokuwa akishangaa JK na Membe ktk lile kasr ni ya Kutoka Tanzania.Soon ataenda shangaa qatar and Abu dhabi aone swala,na twiga wetu tena.
 
Wawarudishe tu na wasivuke tena bahari kuja DSM maanake nitalipiza kisasi kwa utumwa wa ndugu zangu walio huko!
Nitalipiza vile vile kwa kuwafanya matowashi ndugu zangu. Seriously no more relations with these one time nuts!!
 
Watu wanatamani kuwa watumwa katika Karne hii?. Mambo ya ajabu kabisa!!
 
Inamaana waliokwenda Oman ni wazanzibari tuuuuuuuuuuuuuuu na mbona huyo mpenda safari au raisi mapepe wenu kikwete asietulia kwao tanganyika kila siku yupo Ulaya je na yeye anataka kuredesha wazungu??????????
 
hata kama wanataka tatizo liko wapi? Kwani kama wenyewe wanawataka sie tunaumia nin. Kwanini tunaponda kuingilia mambo ya watu.
 
Back
Top Bottom