Zanzibar inavyoichafua Tanzania (Tanganyika) kimataifa

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana kimataifa kuwa nchi inayosambaza dawa za kulevya duniani na hivyo kushusha hadhi kama moja ya nchi hatari zaidi kwa madawa ya kulevya.

1775223576971.png

Soma pia

​
 
Kulea yatima yataka moyo sana .
 
Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana kimataifa kuwa nchi inayosambaza dawa za kulevya duniani na hivyo kushusha hadhi kama moja ya nchi hatari zaidi kwa madawa ya kulevya.

Soma pia

​
Cheap propaganda
 
Back
Top Bottom