...Interesting;
Shs80,000 (50 euros) - Shs60,000 (50 USD $'S) = Shs20,000
Sidhani eti hao watumishi wanauchungu wa kweli kuingiza hilo salio la Shs20,000 kutoka kwa kila mtalii kwenye buku la mapato ya serikali.
Imagine Charter flight moja inatua Zanzibar na wageni 150...
150 Pax * Shs20,000 = Shs3,000,000. Ulaji huo!!!!
Na mashaka iwapo hizo euros hazibadilishwi into dollars kubalance mahesabu ya serikali (malipo ya viza kufanywa kwa USD $'s) na chajuu kuliwa na wajanja wachache...
Dar Nao hivyo hivyo pesa ya visa ni $50 =£50 = euro 50 yaani wanaona kila mtu mjinga halafu wanakuchelewesha