Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
ZRB na TRA hawana utofauti sana ila kimsingi mmoja anakusanya mapato kwa Tanganyika na mwingine ZanzibarNajua, kwanini kazi hiyo wasipewe ZRA?, au ZRA kazi yao ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZRB na TRA hawana utofauti sana ila kimsingi mmoja anakusanya mapato kwa Tanganyika na mwingine ZanzibarNajua, kwanini kazi hiyo wasipewe ZRA?, au ZRA kazi yao ni ipi?
Jukumu la SMZ....unataka pesa zitoke Geita au Tunduma zije kujenga huko.Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel
Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel
Kwani si wana serikali yao na mamlaka yao ya mapato wanashindwa nini kujenga hiyo miundo mbinu au ndiyo ile sera yenu ya changu changu chako changu.Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel