Hilo Daraja linatusaidia nini sisi Wabara,wakati hao Wakojani hawataki tuguse Ardhi yao?.Mzee Mwanakijiji kumbe mwenzetu ulilisemea hili kitambo Sana hakika kuna watu huwa mnaona mbali Sana hongera Sana mkuu Kwa kulisemea hili na hatimae serikali wameanza kufikiria wazo hili la ujenzi
Kwani Crimea si imeunganishwa na Urusi?Wazanzibari wasikubali daraja kabla ya Referendum ya kuamua hatma ya muungano huu wa kisela.
Zanzibar ni Nchi huru yenye Serkali yake.Kwani Crimea si imeunganishwa na Urusi?
Si kweliZanzibar ni Nchi huru yenye Serkali yake.
We Zanzibar ni mkoa tu ndani ya TanganyikaZanzibar ni Nchi huru yenye Serkali yake.
Siku hizi una ID ipi? Naona tangu Jiwe afe huonekaniBila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na umbali wa mbio za marathoni) kama mile 26 hivi. Daraja hilil la China la kisasa kama picha zinavyoonesha limejengwa kwa gharama ya dola bilioni 1.5 (karibu na shilingi za Kitanzania Trilioni 2 na ushee). Daraja hili lilianza kujengwa mwaka 2006 na limekamilika mwaka 2011 kama ilivyotarajiwa.
![]()
![]()
(Picha zote na AP na Reuters)
Tunajifunza Nini?
a. Bahari si kikazo cha kuunganisha sehehu mbili za nchi moja.
b. Gharama ya kujenga daraja kama hili kuunganisha Tanzania moja ziko ndani ya uwezo wetu na ninaweza kuargue kuwa tunaweza kufanya kwa fedha zetu wenyewe japo utaalamu na wataalamu tunaweza kuwashirikisha rafiki zetu wa China - tukiwapa BAES!
c. Gharama ya dola bilioni 1.5 ni sawa na fedha zilipotea katika ufisadi kwa mwaka mmoja uliopita tu. Tukichanganya fedha zilizopotea kwa miaka kumi iliyopita tungeweza kabisa kuunganisha Zanzibar mara tatu - kutokea Tanga kwenda Pemba, kutoka Dar (au Bagamoyo-the closest points to the mainland from Unguja?) na Pemba na Unguja! - by the Way kwa miaka kumi iliyopita ufisadi umegharimu zaidi ya bilioni 10 (dola!!)
d. Kwenye kile kinachoitwa Mpango wa Maendeleo ambao uko tayari kutumia shilingi trilioni 42 hakuna mpango wa kuthubutu kama huu.
e. Tunapoelekea miaka 50 ya Uhuru hakuna kitu kitakachoonesha Muungano wetu kuwa umehimiri vishindo na matatizo kama kuzinduliwa kwa daraja la Muungano (Union Bridge) japo sehemu yake mwaka 2014 huku likikamilika 2015.
f. Naamini ujenzi wa daraja/madaraja ya kuunganisha Zanzibar na Bara utasaidia sana katika kuleta maendeleo visiwani na kuusogeza ule udugu wa damu kati yetu karibu zaidi kwani kwa mara ya kwanza bahari itaondolewa kama alama ya kutengana kwetu, watu wa Zanzibar na bara wataweza kwenda nchini mwao wakati wowote na mahali popote bila kutishiwa sana na masuala ya usalama kama ilivyo sasa.
g. Bara nako kutanufaika sana na kufunguliwa kwa njia hii mpya.
Maswali ya Kutafakari:
Je kuna uongozi wowote ndani ya CCM wenye mawazo ya namna hii au mwitikio wa kwanza 'hatuwezi?
Je, Rais Kikwete anaweza kuja na mpango kama huu madhubuti wakati daraja la kuunganisha Kigamboni na Kivukoni tu pale limeshindikana hadi hivi sasa licha ya kuwa katika mipango kwa muda mrefu?
Je, yawezekana wazo hili haliwezi kuletwa, kutetewa wala kusimamiwa na viongozi wetu wa sasa - kwani hawana uwezo wa kulisimamia kama Nyerere alivyosimamia kujengwa kwa reli ya Uhuru (of course lazima nirushe dongo kidogo tu!)?
Je, yawezekana Chama cha Mapinduzi kimepoteza kabisa uwezo wake wa kuthubutu mambo makubwa na sasa kimeamua kufanya mambo madogo kama "mabarabara ya juu kwa juu"?
Je, tusubiri uongozi mpya ambao utakuwa tayari kuliunganisha taifa letu.
Jambo pekee ambalo tuna uhakika nalo kwa kuangalia China ni kuwa inawezekana kuunganisha kwa daraja umbali wa kilomita 42 (au hata zaidi) kwani Zanzibar iko kati ya Maili 16-31 sawa na kilomita 25-50 hivi (kutegemeana na eneo unalosimama kutoka bara). Hii ina maana tukiangalia mahali ambapo ni shortest distance. Hivyo swali la kama inawezekana kiteknolojia au vinginevyo limeshabiwa. Kwa upande wetu ni swali la kisiasa zaidi - je tuna viongozi ambao wanaweza kubuni, kusukuma na kusimamia mpango huu?
UPDATE - OKTOBA 23, 2018
Wachina wamezindua daraja jingine leo hii ambalo lina umbali wa maili 34 (zaidi ya kilomita 60). Je, wamewezaje? Daraja hili jipya linaenda kuviunga visiwa vya Hong Kong na Macau na China Bara... Unguja na Pemba ziungwe na Bara kwa namna hii?
View attachment 908357
ukoo wako ndio uliolaaniwa nchi imebarikiwaStimulus package ya Tanzania ilikuwa around Tsh 1.7 trillions. Ukijumlisha na hivi vijicent vinavyopotea EPA, Kagoda, Meremeta, Rada, Vasco da Gamma travels, vitafunwa na ndugu na jamaa wote wanaohusika, Tanzania inaweza kabisa kugharamia Daraja kama hili. In fact umbali wa DAR-Zanzibar ni 40km. (2km less than huu umbali wa daraja china). But being a nation cursed with non-visionary leadership tutaendelea kusoma China leo, Cambodia kesho, Malayasia keshokutwa. Maybe we should try the other household- CDM that is!
kwa huo upumbavu mlaumu mamako kukuzaaWe Zanzibar ni mkoa tu ndani ya Tanganyika
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na umbali wa mbio za marathoni) kama mile 26 hivi. Daraja hilil la China la kisasa kama picha zinavyoonesha limejengwa kwa gharama ya dola bilioni 1.5 (karibu na shilingi za Kitanzania Trilioni 2 na ushee). Daraja hili lilianza kujengwa mwaka 2006 na limekamilika mwaka 2011 kama ilivyotarajiwa.