DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwani - ujenzi wa hilo daraja, unataka kutatua tatizo gani?? Maana Zanzibar hakuna tatizo la usafiri la kutokea Dar kwenda huko? Au muda wa safari ya Dar - Zanzibar utakuwa mfupi? Au utaongeza mapato ya utalii Zanzibar?? Sababu itakuwa rahisi zaidi kwa Watanganyika wengi kwenda huko? Pili - hilo daraja halitoathiri bandari zetu kwa sasa na hapo baadae?? Kwa uingiaji na utokaji wa meli? au kama Bandari nyingine zikihitajika kujengwa miaka 50 au 100 ijayo ? Vipi kuhusu usalama wake?? Tutaweka UPDF wlailinde?? au itakuwaje?? Maana hizo ni kilomita nyingi sana...
 
Siku hizi una ID ipi? Naona tangu Jiwe afe huonekani
 
ukoo wako ndio uliolaaniwa nchi imebarikiwa
 

Mkuu,

Hapo ni trilioni 3.5 na ushee.

Lakini wakisema wajenge kwtu kwa urefu huo tu, inaweza kutugharimu trilioni 8 hadi 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…