Zanzibar Kama Dubai, Hazina Sovereignty, - No Capacity to International Treaty, Kama Tumeingia Mkataba na Dubai, Kwanini Zanzibar Izuiwe Kujinga OIC?!

Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.

Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law.

Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional Law, Watanzania ni wa hurumiwa tuu, Mungu Saidia, sio serikali, sio Bunge wala Mahakama zetu zinafuata dhima ya mtunga katiba, ndio maana serikali yetu inatunga miswada batili ya sheria inayokwenda kinyume na katiba, Bunge linatunga sheria batili, Mahakama Kuu inabatilisha, sheria hizo batili, Mahakama ya Rufaa inakubalia na Mahakama Kuu kuhusu ubatili, kisha inajifunga mikono kwa kunawa mikono kujiosha kama Pilato alipomhukumu Mwana wa Adamu, kifo msalabani na inazirudisha Bungeni, Bunge lile lile lililotunga batili, at ndio limebembelezwa kuuondoa huo ubatili, matokeo yake ubatili huo upo mpaka leo ndani ya katiba yetu na ndani ya sheria yetu ya uchaguzi na hadi hii sheria mpya ya uchaguzi ni batili!.

Kwa upande wa International law, kuna miungano ya aina kuu mbili
1. Muungano wa Unitary kuunda taifa kwa union, taifa linakuwa a united ...
2. Muungano wa federation kuunda taifa la federal lenye independent states ndani yake kama ilivyo USA, USSR、Yogoslavia etc

Kiukweli kabisa Muungano wetu kimataifa ni muungano wa unitary, hauna utata wowote, muungano wetu ni Muungano wa Union ya nchi mbili zimeungana, zote zikapoteza sovereignty zake kwa kuzikabidhi kwa nchi moja ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kimataifa,Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika, na Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani.

Kizungumkuti cha muungano wetu ni Tanzania ndani ya Muungano, Muungano wetu ni wa federation yenye washirika wawili, katiba mbili, Marais wawili, mabunge mawili, mshirika mmoja ndie nchi mwenye sovereignty na mshirika wa pili sio nchi, hana sovereignty, ila kwenye katiba yake anajiita ni nchi, katiba ya mshirika mwingine haiitambui katiba ya mshirika mwenzake!, mambo ni shaghalabaghala!.

Mshirika ambaye sio nchi, akajiunga na OIC, hivyo kuonekana kama ni Tanzania ndio imejiunga na OIC, Bunge la mshirika mmoja likakasirika na kumlazimisha mshirika huyo ajitoe OIC, kwa ahadi ya Tanzania itajiunga, kumbe ni danganya toto!.

Sasa baadhi ya Wanzanzibari wanatamani kujiunga na OIC.

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina sovereignty, has no capacity to contract an international treaty, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwa niaba ya Zanzibar, na ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa deni, anayelipa ni JMT. Hili la mkataba kama wa DP World nimelizungumza humu

Hebu msikie Mzanzibari hiyu akililia OIC

Kwa vile the status of Zanzibar ndani ya Muungano ni sawa sawa kabisa na the status of Dubai ndani ya UAE, Dubai imepewa special status, inaweza kuingia mikataba ya kimataifa ya kibiashara.

Sasa kama Tanzania ambayo ni nchi, ikaingia mkataba wa kimataifa na Dubai ambayo sii nchi, ukaletwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge letu, then kwanini Zanzibar inazuiwa kuingia mikataba ya kimataifa wakati mwenzake Dubai anaingia?.

Kama kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Zanzibar inajiita ni nchi lakini sio nchi!, ila kama kweli Zanzibar ni nchi, haihitaji ruhusa ya mtu yeyote kujinga OIC, wala haihitaji udhamini wa mtu yeyote kuingia mikataba ya kimataifa!.

Ndio maana wakati wa mjadala wa DP World na Bandari zetu, nilisema mkataba ule umetusaidia sana kuujua ukilaza wa wanasheria wetu na serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu, kuridhia mkataba wa an entity which has no the capacity to contract, nikawashauri Zanzibar to take that advantage kuikata minyororo inayowazuia kuifanya Zanzibar iwe a free port.

Kama kwa Dubai Tumeweza, Why not Zanzibar?.

Paskali
🙋‍♂️Mkuu leo inaonekana umeamka vizuri, upewe ulinzi usije ukatekwa kwa andiko hili. ✍️🛡️
 
Umeeleweka vizuri sana
 
Mkuu Pascal, hili ni suala tofauti kabisa na suala la Bandari. DP World ni kampuni iliyoko Dubai, sasa sisi tumeingia mkataba wa bandari na DP World, sio Dubai. Na ni kawaida nchi kuingia mikatba na kampuni kama DP World. Tunaingia mikataba na kampuni za mafuta kama Equinor ya Norway, kama tulivyoingia mkataba na DP World ya Dubai, Emirates.

Sasa pia, jukumu la kuingia mikataba na Jumuiya za Kimataifa, kama SADC, EAC, FIFA, UN, etc, kimsingi, liko nchini ya nchi, any sovereign state. Na Zanzibar, legally, ni nchi lakini sio sovereign state. Itakuwa ni ajabu leo tukisikia Zanzibar wamejiunga na SADC kama Zanzibar. Lakini sasa, kuna loopholes katika Katiba ya Tanzania ambazo Zanzibar wanazitumia kuzishawishi hizi jumuia za kimataifa kwamba wao wana sovereinty ya kujiunga nazo kama tu ilivyo kwa nchi kama Kenya, Uganda nk. Katika kufanya hivi, huwa wanawakilisha nyaraka zinazoonysha wana Katiba yao, Raisi wao, mawaziri wao nk.

Sasa hili Zanzibar wamelifanya mara nyingi sana, na kuna nyakati serikali y Tanzania inakuwa contacted ili kutoa ufafanuzi na kuridhia juu ya mambo Zanzibar inataka. Sasa, tunapokuwa na raisi mwenye msimamo, huwa anajibu kwamba Zanzibar haipaswi kukubaliwa kwa sababu sio sovereign state, au kwa sababu Tanzania tayari ni mwanachama wa Jumuiya hiyo na uanachama wake unaishirikisha Zanzibar kama sehemu ya Tanzania, a soverign state. Sasa basi, kutegemea nani ni Raisi wa Tanzania, jibu tofauti na hili hutolewa, kama ambavyo serikali ya Mwinyi ilipoulizwa kuhusu Zanzibar kujiunga na OIC iliridhia, na Nyerere alipogundua hilo likabatilishwa. Mwinyi alitakiwa awajibishwe hata kuwa impeached kwa hili, lakini Tanzania tuna utamaduni wa kuvumiliana hata tunapoua raia wasio na hatia, au kutuma wanaume sita kumbaka binti anaetembea na mume wa mtu wetu!

Sasa kwa sababu kwa sasa tuna raisi kutoka Zanzibar, Samia, na kama wanavyosema, Nyerere hayupo tena, kuna Wazanzibar wengi sana, sio huyu mmoja tu, wanakuwa wakimshawishi raisi Samia aruhusu hili. Kama Samia asipotumia busara akakubali, litapita. Nani atazuia? Binafsi, na kama ulivyosema, raisi Samia sio kiongozi anaeona Katiba ni kitu muhimu cha kufutaa. Akijisikia anafanya mambo kinyume cha Katiba kwa sababu anaiona Katiba kama kijitabu tu ambacho sio cha kutilia maanani sana.

Nadhani kama raisi Samia akifanya kitu cha ajabu kama hicho, itahalalisha chama kama Chadema kupiga kampeni wakati wa uchaguzi zinazojikita kwenye Uzanzibari na Utanganyika - kwamba Watanganyika wakatae kuongozwa na Mzanzibar kwa sababu tunapokuwa na raisi Mzanzibar anafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar sio Tanzania na watakumbusha juu ya suala la OIC chini ya Mwinyi na Samia kwa kipindi hiki. Raisi Samia atakuwa amejipalia mkaa. Hapaswi kusahau kuwa ni Watanganyika wanaoridhia mtu kuwa raisi - president makers. Kitakachomwokoa ni ujinga wa Watanganyika wengi, maana ni Watanganyika wajinga tu ambao hawataelewa hili. Kama nilivyosema kwenye signature yangu, wajinga wengi wanaweza kufanya ushindwe uchaguzi, wakitumia nguvu ya wingi wao.
 
Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.

Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law.

Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional Law, Watanzania ni wa hurumiwa tuu, Mungu Saidia, sio serikali, sio Bunge wala Mahakama zetu zinafuata dhima ya mtunga katiba, ndio maana serikali yetu inatunga miswada batili ya sheria inayokwenda kinyume na katiba, Bunge linatunga sheria batili, Mahakama Kuu inabatilisha, sheria hizo batili, Mahakama ya Rufaa inakubalia na Mahakama Kuu kuhusu ubatili, kisha inajifunga mikono kwa kunawa mikono kujiosha kama Pilato alipomhukumu Mwana wa Adamu, kifo msalabani na inazirudisha Bungeni, Bunge lile lile lililotunga batili, at ndio limebembelezwa kuuondoa huo ubatili, matokeo yake ubatili huo upo mpaka leo ndani ya katiba yetu na ndani ya sheria yetu ya uchaguzi na hadi hii sheria mpya ya uchaguzi ni batili!.

Kwa upande wa International law, kuna miungano ya aina kuu mbili
1. Muungano wa Unitary kuunda taifa kwa union, taifa linakuwa a united ...
2. Muungano wa federation kuunda taifa la federal lenye independent states ndani yake kama ilivyo USA, USSR、Yogoslavia etc

Kiukweli kabisa Muungano wetu kimataifa ni muungano wa unitary, hauna utata wowote, muungano wetu ni Muungano wa Union ya nchi mbili zimeungana, zote zikapoteza sovereignty zake kwa kuzikabidhi kwa nchi moja ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kimataifa,Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika, na Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani.

Kizungumkuti cha muungano wetu ni Tanzania ndani ya Muungano, Muungano wetu ni wa federation yenye washirika wawili, katiba mbili, Marais wawili, mabunge mawili, mshirika mmoja ndie nchi mwenye sovereignty na mshirika wa pili sio nchi, hana sovereignty, ila kwenye katiba yake anajiita ni nchi, katiba ya mshirika mwingine haiitambui katiba ya mshirika mwenzake!, mambo ni shaghalabaghala!.

Mshirika ambaye sio nchi, akajiunga na OIC, hivyo kuonekana kama ni Tanzania ndio imejiunga na OIC, Bunge la mshirika mmoja likakasirika na kumlazimisha mshirika huyo ajitoe OIC, kwa ahadi ya Tanzania itajiunga, kumbe ni danganya toto!.

Sasa baadhi ya Wanzanzibari wanatamani kujiunga na OIC.

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina sovereignty, has no capacity to contract an international treaty, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwa niaba ya Zanzibar, na ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa deni, anayelipa ni JMT. Hili la mkataba kama wa DP World nimelizungumza humu

Hebu msikie Mzanzibari hiyu akililia OIC

Kwa vile the status of Zanzibar ndani ya Muungano ni sawa sawa kabisa na the status of Dubai ndani ya UAE, Dubai imepewa special status, inaweza kuingia mikataba ya kimataifa ya kibiashara.

Sasa kama Tanzania ambayo ni nchi, ikaingia mkataba wa kimataifa na Dubai ambayo sii nchi, ukaletwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge letu, then kwanini Zanzibar inazuiwa kuingia mikataba ya kimataifa wakati mwenzake Dubai anaingia?.

Kama kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Zanzibar inajiita ni nchi lakini sio nchi!, ila kama kweli Zanzibar ni nchi, haihitaji ruhusa ya mtu yeyote kujinga OIC, wala haihitaji udhamini wa mtu yeyote kuingia mikataba ya kimataifa!.

Ndio maana wakati wa mjadala wa DP World na Bandari zetu, nilisema mkataba ule umetusaidia sana kuujua ukilaza wa wanasheria wetu na serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu, kuridhia mkataba wa an entity which has no the capacity to contract, nikawashauri Zanzibar to take that advantage kuikata minyororo inayowazuia kuifanya Zanzibar iwe a free port.

Kama kwa Dubai Tumeweza, Why not Zanzibar?.

Paskali
Viongozi wa CCM kwa kutumia nguvu za dola ndiyo wanaokiuka katiba kwa makusudi! Nafasi pekee ya Watanzania kujikwamua katika ubatili huu ni maasi ya umma! Pale watu watakapoingia barabarani na kuing'oa serikali ya CCM madarakani ndiyo utakuwa mwanzo wa ukombozi na uhuru kamili wa Tanzania!
 
🙋‍♂️Mkuu leo inaonekana umeamka vizuri, upewe ulinzi usije ukatekwa kwa andiko hili. ✍️🛡️
Mimi navyojua hakuna mkataba valid baina ya ya Dubai na Tanzania kuhusu bandari. Japo speaker kwa sababu anajua mwenyewe alitumia hila kupitisha ule mkataba bungeni lakini kwa sheria iliyopitishwa awamu ya 5 kulinda maliasili za taifa mkataba huo ni non and void. Yaani ni kinyume cha sheria za nchi kwa ivyo ni sawa na haupo. Kama mnakumbuka ilikua speaker awasilishe mswaada mwingine kutoa exemption kwa bandari kwenye ile sheria kuhusu mali asili za taifa lakini nahisi mama alishituka na kusimamisha hatua hiyo.
 
Alafu wakijiunga huko OIC kinachofuata ni Zanzibar kupitisha na kutekeleza sheria za kiislam za watu kupigwa mawe na mambo mengine ya kiislam kwa lazma

JMT Haina dini na sera yake ni kutofungamana na upande wowote
Uganda ipo oic na kenya pia wewe umewahi kusikia kenya au uganda watu wamepigwa mawe na kulazimishwa mambo mengine ya uislamu?
 
Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.

Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law.

Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional Law, Watanzania ni wa hurumiwa tuu, Mungu Saidia, sio serikali, sio Bunge wala Mahakama zetu zinafuata dhima ya mtunga katiba, ndio maana serikali yetu inatunga miswada batili ya sheria inayokwenda kinyume na katiba, Bunge linatunga sheria batili, Mahakama Kuu inabatilisha, sheria hizo batili, Mahakama ya Rufaa inakubalia na Mahakama Kuu kuhusu ubatili, kisha inajifunga mikono kwa kunawa mikono kujiosha kama Pilato alipomhukumu Mwana wa Adamu, kifo msalabani na inazirudisha Bungeni, Bunge lile lile lililotunga batili, at ndio limebembelezwa kuuondoa huo ubatili, matokeo yake ubatili huo upo mpaka leo ndani ya katiba yetu na ndani ya sheria yetu ya uchaguzi na hadi hii sheria mpya ya uchaguzi ni batili!.

Kwa upande wa International law, kuna miungano ya aina kuu mbili
1. Muungano wa Unitary kuunda taifa kwa union, taifa linakuwa a united ...
2. Muungano wa federation kuunda taifa la federal lenye independent states ndani yake kama ilivyo USA, USSR、Yogoslavia etc

Kiukweli kabisa Muungano wetu kimataifa ni muungano wa unitary, hauna utata wowote, muungano wetu ni Muungano wa Union ya nchi mbili zimeungana, zote zikapoteza sovereignty zake kwa kuzikabidhi kwa nchi moja ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kimataifa,Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika, na Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani.

Kizungumkuti cha muungano wetu ni Tanzania ndani ya Muungano, Muungano wetu ni wa federation yenye washirika wawili, katiba mbili, Marais wawili, mabunge mawili, mshirika mmoja ndie nchi mwenye sovereignty na mshirika wa pili sio nchi, hana sovereignty, ila kwenye katiba yake anajiita ni nchi, katiba ya mshirika mwingine haiitambui katiba ya mshirika mwenzake!, mambo ni shaghalabaghala!.

Mshirika ambaye sio nchi, akajiunga na OIC, hivyo kuonekana kama ni Tanzania ndio imejiunga na OIC, Bunge la mshirika mmoja likakasirika na kumlazimisha mshirika huyo ajitoe OIC, kwa ahadi ya Tanzania itajiunga, kumbe ni danganya toto!.

Sasa baadhi ya Wanzanzibari wanatamani kujiunga na OIC.

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina sovereignty, has no capacity to contract an international treaty, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwa niaba ya Zanzibar, na ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa deni, anayelipa ni JMT. Hili la mkataba kama wa DP World nimelizungumza humu

Hebu msikie Mzanzibari hiyu akililia OIC

Kwa vile the status of Zanzibar ndani ya Muungano ni sawa sawa kabisa na the status of Dubai ndani ya UAE, Dubai imepewa special status, inaweza kuingia mikataba ya kimataifa ya kibiashara.

Sasa kama Tanzania ambayo ni nchi, ikaingia mkataba wa kimataifa na Dubai ambayo sii nchi, ukaletwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge letu, then kwanini Zanzibar inazuiwa kuingia mikataba ya kimataifa wakati mwenzake Dubai anaingia?.

Kama kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Zanzibar inajiita ni nchi lakini sio nchi!, ila kama kweli Zanzibar ni nchi, haihitaji ruhusa ya mtu yeyote kujinga OIC, wala haihitaji udhamini wa mtu yeyote kuingia mikataba ya kimataifa!.

Ndio maana wakati wa mjadala wa DP World na Bandari zetu, nilisema mkataba ule umetusaidia sana kuujua ukilaza wa wanasheria wetu na serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu, kuridhia mkataba wa an entity which has no the capacity to contract, nikawashauri Zanzibar to take that advantage kuikata minyororo inayowazuia kuifanya Zanzibar iwe a free port.

Kama kwa Dubai Tumeweza, Why not Zanzibar?.

Paskali
Naunga mkono Hoja 💯 👍
 
Uganda ipo oic na kenya pia wewe umewahi kusikia kenya au uganda watu wamepigwa mawe na kulazimishwa mambo mengine ya uislamu?

Wewe uwajui vizuri wazenj, hao wana desturi kama za Oman
mtu akikutwa anakula mwezi wa ramadhan kabla ya kufungulia ujue viboko tu, mtu akikutwa kalewa pombe ni viboko, wana watu wao wanaitwa masheha hao ndio waamuz wa talaka na mambo ya kijamii kulingana na sheria za kiislam
 
Zanzibar anakuja "Sheikh Mansoor" mmoja anaifanya kuwa Dubai ya Africa halafu Watanganyika dada zetu hawatoenda tena Saudi bali watapanda boti kwenda Zenjibara kuwa mahouse-girl...
 
Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.

Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law.

Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional Law, Watanzania ni wa hurumiwa tuu, Mungu Saidia, sio serikali, sio Bunge wala Mahakama zetu zinafuata dhima ya mtunga katiba, ndio maana serikali yetu inatunga miswada batili ya sheria inayokwenda kinyume na katiba, Bunge linatunga sheria batili, Mahakama Kuu inabatilisha, sheria hizo batili, Mahakama ya Rufaa inakubalia na Mahakama Kuu kuhusu ubatili, kisha inajifunga mikono kwa kunawa mikono kujiosha kama Pilato alipomhukumu Mwana wa Adamu, kifo msalabani na inazirudisha Bungeni, Bunge lile lile lililotunga batili, at ndio limebembelezwa kuuondoa huo ubatili, matokeo yake ubatili huo upo mpaka leo ndani ya katiba yetu na ndani ya sheria yetu ya uchaguzi na hadi hii sheria mpya ya uchaguzi ni batili!.

Kwa upande wa International law, kuna miungano ya aina kuu mbili
1. Muungano wa Unitary kuunda taifa kwa union, taifa linakuwa a united ...
2. Muungano wa federation kuunda taifa la federal lenye independent states ndani yake kama ilivyo USA, USSR、Yogoslavia etc

Kiukweli kabisa Muungano wetu kimataifa ni muungano wa unitary, hauna utata wowote, muungano wetu ni Muungano wa Union ya nchi mbili zimeungana, zote zikapoteza sovereignty zake kwa kuzikabidhi kwa nchi moja ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kimataifa,Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika, na Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani.

Kizungumkuti cha muungano wetu ni Tanzania ndani ya Muungano, Muungano wetu ni wa federation yenye washirika wawili, katiba mbili, Marais wawili, mabunge mawili, mshirika mmoja ndie nchi mwenye sovereignty na mshirika wa pili sio nchi, hana sovereignty, ila kwenye katiba yake anajiita ni nchi, katiba ya mshirika mwingine haiitambui katiba ya mshirika mwenzake!, mambo ni shaghalabaghala!.

Mshirika ambaye sio nchi, akajiunga na OIC, hivyo kuonekana kama ni Tanzania ndio imejiunga na OIC, Bunge la mshirika mmoja likakasirika na kumlazimisha mshirika huyo ajitoe OIC, kwa ahadi ya Tanzania itajiunga, kumbe ni danganya toto!.

Sasa baadhi ya Wanzanzibari wanatamani kujiunga na OIC.

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina sovereignty, has no capacity to contract an international treaty, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwa niaba ya Zanzibar, na ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa deni, anayelipa ni JMT. Hili la mkataba kama wa DP World nimelizungumza humu

Hebu msikie Mzanzibari hiyu akililia OIC

Kwa vile the status of Zanzibar ndani ya Muungano ni sawa sawa kabisa na the status of Dubai ndani ya UAE, Dubai imepewa special status, inaweza kuingia mikataba ya kimataifa ya kibiashara.

Sasa kama Tanzania ambayo ni nchi, ikaingia mkataba wa kimataifa na Dubai ambayo sii nchi, ukaletwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge letu, then kwanini Zanzibar inazuiwa kuingia mikataba ya kimataifa wakati mwenzake Dubai anaingia?.

Kama kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Zanzibar inajiita ni nchi lakini sio nchi!, ila kama kweli Zanzibar ni nchi, haihitaji ruhusa ya mtu yeyote kujinga OIC, wala haihitaji udhamini wa mtu yeyote kuingia mikataba ya kimataifa!.

Ndio maana wakati wa mjadala wa DP World na Bandari zetu, nilisema mkataba ule umetusaidia sana kuujua ukilaza wa wanasheria wetu na serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu, kuridhia mkataba wa an entity which has no the capacity to contract, nikawashauri Zanzibar to take that advantage kuikata minyororo inayowazuia kuifanya Zanzibar iwe a free port.

Kama kwa Dubai Tumeweza, Why not Zanzibar?.

Paskali
Dubai wanaingia mikataba ya kimataifa kwa ruhusa maalum ya UAE.

Katiba ya UAE ina provision hiyo.

Ndiyo maana mimi nilikuwa naona hoja ya "Dubai si nchi, hivyo haiwezi kusaini mkataba wa kimataifa" katika sakata la DP World, kuwa hoja ya kijinga.

Na hata Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameingia mikataba ya kimataifa hivyohivyo kwa rususa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Tatizo la OIC, Wizara ya Mambo ya Nje na Serikali ya Muungano ilikataa kwa sababu Tanzania ni nchi isiyofuata dini rasmi (secular state), hata kama wananchi wake wana dini.
 
Alafu wakijiunga huko OIC kinachofuata ni Zanzibar kupitisha na kutekeleza sheria za kiislam za watu kupigwa mawe na mambo mengine ya kiislam kwa lazma

JMT Haina dini na sera yake ni kutofungamana na upande wowote
Nchi haina mafungamano ya kidini, hivyo kujiunga na Shirikisho lolote la kidini sio sawa

wagalatia kwanini munateseka sana na uislamu?
 
Dubai wanaingia mikataba ya kimataifa kwa ruhusa maalum ya UAE.

Katiba ya UAE ina provision hiyo.

Ndiyo maana mimi nilikuwa naona hoja ya "Dubai si nchi, hivyo haiwezi kusaini mkataba wa kimataifa" katika sakata la DP World, kuwa hoja ya kijinga.

Na hata Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameingia mikataba ya kimataifa hivyohivyo kwa rususa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Tatizo la OIC, Wizara ya Mambo ya Nje na Serikali ya Muungano ilikataa kwa sababu Tanzania ni nchi isiyofuata dini rasmi (secular state), hata kama wananchi wake wana dini.

kwaniili ujiunge OIC ni lazima uwe unafuata dini rasmi? mbona nchi nyingi zilizokuemo hazipo hivyo
 
Hapa suala si kujiunga na OIC tu.

Huyo Mzee Hashim kasema wazi kuwataka viongozi wa Kiislamu, rais Samia, rais Mwinyi, waziri wa mambo ya nje Kombo, waziri wa mambo ya ndani Masauni, waislam, wazanzibari, kwa sababu wao ni waislam na wazanzibari, watumie fursa hii kujiunga na OIC haraka sana kabla hajaja rais Mkristo kuharibu mambo.

This is a religion driven conspiracy.

Katiba za Tanzania, Zanzibar na CHADEMA zinakataza siasa za udini.

Mzee Hashim kafanya siasa za udini kwa kutumia platform ya CHADEMA, chama ambacho kinajinadi kutokuwa na siasa za udini.

Hata kama kujiunga na OIC si tatizo, kauli hii ya viongozi kufanya mambo kwa sababu wao ni waislamu, wafanye haraka kabla mkristo hajaja kuharibu mambo, ni udini.
 
Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.

Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law.

Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional Law, Watanzania ni wa hurumiwa tuu, Mungu Saidia, sio serikali, sio Bunge wala Mahakama zetu zinafuata dhima ya mtunga katiba, ndio maana serikali yetu inatunga miswada batili ya sheria inayokwenda kinyume na katiba, Bunge linatunga sheria batili, Mahakama Kuu inabatilisha, sheria hizo batili, Mahakama ya Rufaa inakubalia na Mahakama Kuu kuhusu ubatili, kisha inajifunga mikono kwa kunawa mikono kujiosha kama Pilato alipomhukumu Mwana wa Adamu, kifo msalabani na inazirudisha Bungeni, Bunge lile lile lililotunga batili, at ndio limebembelezwa kuuondoa huo ubatili, matokeo yake ubatili huo upo mpaka leo ndani ya katiba yetu na ndani ya sheria yetu ya uchaguzi na hadi hii sheria mpya ya uchaguzi ni batili!.

Kwa upande wa International law, kuna miungano ya aina kuu 3
1. Muungano wa Total Union
2. Muungano wa Federation
3. Muungano wa Confederation

Aina ya muungano wetu wa URT ni muungano unique wa mseto wa Total Union kwa upande mmoja nchi mbili za (Tanganyika na Zanzibar ) zimeungana kuunda taifa moja URT. Nchi zote mbili zimekufa.

Kwa upande wa pili ni muungano wa Federation ya Tanzania na (Zanzibar).
kuunda taifa la federal lenye independent states ndani yake kama ilivyo USA, USSR、Yogoslavia etc

Kiukweli kabisa Muungano wetu kimataifa ni muungano wa unitary, hauna utata wowote, muungano wetu ni Muungano wa Union ya nchi mbili zimeungana, zote zikapoteza sovereignty zake kwa kuzikabidhi kwa nchi moja ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kimataifa,Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika, na Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani.

Kizungumkuti cha muungano wetu ni Tanzania ndani ya Muungano, Muungano wetu ni wa federation yenye washirika wawili, katiba mbili, Marais wawili, mabunge mawili, mshirika mmoja ndie nchi mwenye sovereignty na mshirika wa pili sio nchi, hana sovereignty, ila kwenye katiba yake anajiita ni nchi, katiba ya mshirika mwingine haiitambui katiba ya mshirika mwenzake!, mambo ni shaghalabaghala!.

Mshirika ambaye sio nchi, akajiunga na OIC, hivyo kuonekana kama ni Tanzania ndio imejiunga na OIC, Bunge la mshirika mmoja likakasirika na kumlazimisha mshirika huyo ajitoe OIC, kwa ahadi ya Tanzania itajiunga, kumbe ni danganya toto!.

Sasa baadhi ya Wanzanzibari wanatamani kujiunga na OIC.

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina sovereignty, has no capacity to contract an international treaty, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwa niaba ya Zanzibar, na ikitokea Zanzibar ikashindwa kulipa deni, anayelipa ni JMT. Hili la mkataba kama wa DP World nimelizungumza humu

Hebu msikie Mzanzibari hiyu akililia OIC

Kwa vile the status of Zanzibar ndani ya Muungano ni sawa sawa kabisa na the status of Dubai ndani ya UAE, Dubai imepewa special status, inaweza kuingia mikataba ya kimataifa ya kibiashara.

Sasa kama Tanzania ambayo ni nchi, ikaingia mkataba wa kimataifa na Dubai ambayo sii nchi, ukaletwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge letu, then kwanini Zanzibar inazuiwa kuingia mikataba ya kimataifa wakati mwenzake Dubai anaingia?.

Kama kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Zanzibar inajiita ni nchi lakini sio nchi!, ila kama kweli Zanzibar ni nchi, haihitaji ruhusa ya mtu yeyote kujinga OIC, wala haihitaji udhamini wa mtu yeyote kuingia mikataba ya kimataifa!.

Ndio maana wakati wa mjadala wa DP World na Bandari zetu, nilisema mkataba ule umetusaidia sana kuujua ukilaza wa wanasheria wetu na serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu, kuridhia mkataba wa an entity which has no the capacity to contract, nikawashauri Zanzibar to take that advantage kuikata minyororo inayowazuia kuifanya Zanzibar iwe a free port.

Kama kwa Dubai Tumeweza, Why not Zanzibar?.

Paskali
Nahamia Zanzibar...

...Ni Hayo Tu!!
 
Back
Top Bottom