Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira.
Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili, Udhalilishaji pamoja na wanawake na wazee ili kuleta jamii yenye maadili mema.
Mgeni rasmi katika kampeni hii anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdalla. Kampeni hii itaendana na Marathon itakayoshirikisha Washiriki 20,000 kutoka Bara na Visiwani itakayofanyika Forodhani, Zanzibar.
Pia soma:
~ Waziri Riziki Pembe: Lengo la Kampeni ya MTOTO NI MBONI YANGU ni kutokomeza ukatili na unyanyasaji Wanawake na Watoto
~ Mbio za Mtoto ni Mboni Yangu kufanyika Novemba 23, 2024, Zanzibar
~ Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums