AVANTES
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 367
- 322
Daaaah umenisikitisha sanaaa mkuu hata uku ayo makanisa yapo nayanpigah kelelee lkn utaratibu upo unaenda serikalini kuripoti izoo kelee wao wanakuja kuongea na wenye kanisa juu ya izo kelele na kuweka mutual agreement lakini sijawahiii sikia huku bara kanisa limebomolewa juu ya keleleee labda kama unashabikia udiniiii sawaaaa ntakubaliana na hoja yako lkn kama ni ishu ya keleleee haibomoi kanisaNiliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Yapo makanisa kama Katoliki ambayo tunaheshimu na kuishi nao kwa amani, ila haya makanisa ya kijasiriamali yaliyojaa utapeli hayawezi kuvumilika.
Hakuna uhuru wa kuabudu usio na miaka, ndio maana hata serikali ilimfungia Nabii Tito pia imefungia Zumaridi