SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
karume na nyerere ndio walishawahi kutuambia koti la muungano limeanza kubana, siku utakapokutana nao waulize walilishona au kununua wpi
Kwa hiyo unatakaje aisee?
Hilo koti liko wapi au na wewe
umeanza kuweweseka baada ya kuona
miaka ndani ya Muungano inaongezeka?
Pole sana kwa kujifanya mpinga Muungano
na hiyo ajenda yako ya kuvunja Muungano
iliyoko ndani yako ipeleke Somalia, hicho kitu ndani
ya Ardhi ya Tanzania sahau!