SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
karume na nyerere ndio walishawahi kutuambia koti la muungano limeanza kubana, siku utakapokutana nao waulize walilishona au kununua wpi
Acha uongo wako wewe mchumia tumbo, we kwan ulikuwepo wakati wakiongelea hilo?karume na nyerere ndio walishawahi kutuambia koti la muungano limeanza kubana, siku utakapokutana nao waulize walilishona au kununua wpi
Acha uongo wako wewe mchumia tumbo, we kwan ulikuwepo wakati wakiongelea hilo?
Mwehu mkubwa wee, eti nlikuwepo sura kama ulikuwepo!Nilikuwepo
Mwehu mkubwa wee, eti nlikuwepo sura kama ulikuwepo!
Sheikh Msellem huyo ...na huu ndio ugaidi ulomfanya atiwe matesoni tanganyika pamoja na masheikh wengine wa uamsho.
Uonevu mkubwa dhidi ya wazanzibar na waislam kwa jumla.
Niliona video moja humu jf ikimuonesha sheikh Basaleh wakisema walimuokoa Kikwete uchaguzi ulopita dhidi ya hasira ya kanisa kutompa kura.
Tunakumbuka maagizo ya mabaraza ya kikristo juu ya uchaguzi wa 2010. Waislam walimrejesha madarakani..lakini leo amewatia ndani masheikh wetu ndani....Allah atawalipia inshallah
Acha zako hizo, uzushi huo usituletee hapa. Kalale.
Uzushi gani ?
Huyo mtoa mada kwenye youtube unamjua ?
Huyo ni sheikh Msellem yupo kizuizini Tanganyika...
Kalale wewe usie weza kuumeza ukweli
Acha hasira weka hoja mwehu weweUzushi gani ?
Huyo mtoa mada kwenye youtube unamjua ?
Huyo ni sheikh Msellem yupo kizuizini Tanganyika...
Kalale wewe usie weza kuumeza ukweli