Kahorogoma
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 318
- 252
Naomba kujua je mtu ukichanjwa uambukizwi au kuambukiza corona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi WHO wanafanya kazi na JMT au SMZ?🤒Katika huu muungano kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Masuala ya afya si Jambo la muungano.
Kuna haja mashuleni kuanzia shule ya msingi kuwepo mada rasmi juu ya huu muungano.
tumia na badala ya auHivi WHO wanafanya kazi na JMT au SMZ?🤒