K Kahorogoma JF-Expert Member Joined May 13, 2013 Posts 318 Reaction score 252 Jun 23, 2021 #41 Naomba kujua je mtu ukichanjwa uambukizwi au kuambukiza corona?
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,815 Reaction score 6,517 Jun 23, 2021 #42 Orketeemi said: Katika huu muungano kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Masuala ya afya si Jambo la muungano. Kuna haja mashuleni kuanzia shule ya msingi kuwepo mada rasmi juu ya huu muungano. Click to expand... Hivi WHO wanafanya kazi na JMT au SMZ?🤒
Orketeemi said: Katika huu muungano kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Masuala ya afya si Jambo la muungano. Kuna haja mashuleni kuanzia shule ya msingi kuwepo mada rasmi juu ya huu muungano. Click to expand... Hivi WHO wanafanya kazi na JMT au SMZ?🤒
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Jun 23, 2021 #43 Tuhamasishe tu njia za kujikinga kwa barakoa na vitakasa mikono, but I'm not convinced kuhamasisha matumizi ya chanjo.....
Tuhamasishe tu njia za kujikinga kwa barakoa na vitakasa mikono, but I'm not convinced kuhamasisha matumizi ya chanjo.....
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Jun 23, 2021 #44 kirikou1 said: Hivi WHO wanafanya kazi na JMT au SMZ?🤒 Click to expand... tumia na badala ya au