Zanzibar: Kisiwa cha Kwale huko Fumba kukodishwa Wananchi waingia wasiwasi, waeleza haya

Zanzibar: Kisiwa cha Kwale huko Fumba kukodishwa Wananchi waingia wasiwasi, waeleza haya

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Baada ya Serikali ya Zanzibar kukikodisha Kisiwa cha Kwale huko Fumba Mkoa wa Mjini Magharib Unguja, Wananchi wanaofanya shughuli zao za kiuchumi Kisiwani humo wameonesha wasiwasi wao wa kukosa ajira.

Wakizungumza na waandishi wa habari huko Fumba, wamesema shughuli wanazofanya ndizo zinazowaingizia kipato na hawana shughuli nyingine za kufanya.

 
Uwekezaji uwe wa tija sio kuumiza wananchi.
 
Back
Top Bottom