Tetesi: Zanzibar kuandaa Olimpiki 2040

Kwa Africa inasemekana Egypt anaweza kupata kwani wana miundombinu mingi na miji iliyokamilika
Kwa ZnZ inataka hela hasa ila kwa Mungu madogo linawezekana
Ila nilidhani 2036 bado hawajapata kumbe tayari Qatar
Saudia nae alitamani world cup 2030 kakosa nako
 
Worldcup au Olympic
 
He he he heee Zanzibar nayo ni nchi au sehemu ya Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…