Tetesi: Zanzibar kuandaa Olimpiki 2040

Tetesi: Zanzibar kuandaa Olimpiki 2040

Paundwe kamati maalum ya kuzunguka duniani kukusanya maoni
 
rais wa kamati ya olimpiki ni Ghulam Rashid wa zanzibar, nikuulize ameifanyia nini michezo kwa eneo lake? Mchezaji gani mwenye medali kutoka zanzibar? Eneo gani ameandaa kama eneo la michezo zanzibar? Au kutwa kukaa nyuma ya filbert bayi na kumlamba miguu?
 
Back
Top Bottom