Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Hawajali hili, kama waliuza bandari ya Tanganyika ya kwao wakabakiza unafikiri wanajali?uchimbaji wa mchanga Tanzania bara hautasababisha mmomonyoko wa udongo na uharibifu wa ikolojia?
Sio kuanza, mchanga unasafirishwa siku nyingi tu kutoka Tanganyika kwenda ZenjiSerikali ya Zanzibar imetangaza mpango wa kuanza kununua mchanga kutoka Tanzania Bara kwa ajili ya kutumika katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa visiwani humo.
Miradi mikubwa ya ujenzi Zanzibar kwa gharama za Tanganyikamchanga utakaoagizwa kutoka Tanzania Bara utatumika mahsusi katika miradi mikubwa ya ujenzi inayotekelezwa na serikali pamoja na ile inayohusisha uwekezaji mkubwa,
Huu uharibifu sasa utatamalaki kwenye ardhi ya Tanganyikahiyo pia inalenga kulinda mazingira ya Zanzibar kwa kupunguza uchimbaji mkubwa wa mchanga ndani ya visiwa hivyo ambao unaweza kusababisha athari za kimazingira ikiwemo uharibifu wa ardhi, mmomonyoko wa udongo na kuathiri mifumo ya ikolojia.
Mzanzibary hawezi kula kambaleMbona wanakataa samaki zetu,tuwanyime Kila kitu hawa jamaa
Kwa hiyo ni ruksa uharibifu huo ufanyike Bara ili mradi Zanzibar hai athiriki?Ameongeza kuwa hatua hiyo pia inalenga kulinda mazingira ya Zanzibar kwa kupunguza uchimbaji mkubwa wa mchanga ndani ya visiwa hivyo ambao unaweza kusababisha athari za kimazingira ikiwemo uharibifu wa ardhi, mmomonyoko wa udongo na kuathiri mifumo ya ikolojia.
Huu muungano imekaa kinafiki sanaSerikali ya Zanzibar imetangaza mpango wa kuanza kununua mchanga kutoka Tanzania Bara kwa ajili ya kutumika katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa visiwani humo.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Nadir Abdul Latif, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya siku 100 za uongozi wa Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, katika kipindi cha pili cha uongozi wake.
Waziri Nadir amesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na Zanzibar kukabiliwa na uhaba wa rasilimali ya mchanga unaoweza kukidhi mahitaji makubwa ya ujenzi, hasa katika kipindi hiki ambacho serikali inaendelea kutekeleza miradi mingi mikubwa ya maendeleo.
Amefafanua kuwa mchanga utakaoagizwa kutoka Tanzania Bara utatumika mahsusi katika miradi mikubwa ya ujenzi inayotekelezwa na serikali pamoja na ile inayohusisha uwekezaji mkubwa, ili kuhakikisha utekelezaji wa miradi hiyo haukwami kutokana na changamoto ya upatikanaji wa mchanga.
“Tumegundua kuwa miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa Zanzibar kwa sasa inahitaji kiasi kikubwa sana cha mchanga. Kutokana na hali hiyo, serikali imefanya tathmini na kuona ni vyema kuanza kuagiza mchanga kutoka Tanzania Bara kwa ajili ya miradi hiyo mikubwa,” amesema.
Ameongeza kuwa hatua hiyo pia inalenga kulinda mazingira ya Zanzibar kwa kupunguza uchimbaji mkubwa wa mchanga ndani ya visiwa hivyo ambao unaweza kusababisha athari za kimazingira ikiwemo uharibifu wa ardhi, mmomonyoko wa udongo na kuathiri mifumo ya ikolojia.
Hata hivyo, Waziri huyo amesisitiza kuwa wananchi wa Zanzibar wanaohitaji mchanga kwa ajili ya shughuli ndogo za ujenzi kama ujenzi wa nyumba binafsi au utengenezaji wa matofali, hawatalazimika kununua mchanga kutoka Tanzania Bara.
Duh....!, yaani niandike makala kuhusu mchanga?!, Tanzania ni nchi moja, mchanga wote ni wetu sote, naomba kazi hii niwaachie waandishi wa mazingira, mimi naaendelea kuandika kuhusu issues, siandiki kuhusu vitu, wala kuhusu watu!.Pascal Mayalla makala yako izungumzie hili
Kama mchanga ni wetu sote, na sisi tunahaki kuchukua wa Zanzibar?Duh....!, yaani niandike makala kuhusu mchanga?!, Tanzania ni nchi moja, mchanga wote ni wetu sote, naomba kazi hii niwaachie waandishi wa mazingira, mimi naaendelea kuandika kuhusu issues, siandiki kuhusu vitu, wala kuhusu watu!.
P
No, vya wote ni vya bara tuu, vya Zenj ni kwa ajili ya Wazenji tuu!.Kama mchanga ni wetu sote, na sisi tunahaki kuchukua wa Zanzibar?
Amandla...
wewe mzee 😅No, vya wote ni vya bara tuu, vya Zenj ni kwa ajili ya Wazenji tuu!.
P
Huo ndio ukweli wenyewe!wewe mzee 😅
Ungeweka wazi kuwa ni falsafa ya "changu changu chako chetu".No, vya wote ni vya bara tuu, vya Zenj ni kwa ajili ya Wazenji tuu!.
P
Mzee "imemtachi" tutakupelekea JAB sasa hivi. ahahahahahaNo, vya wote ni vya bara tuu, vya Zenj ni kwa ajili ya Wazenji tuu!.
P
HA ha ha!, ila kiukweli nimeitwa kuambiwa kuthibitisha imemtachi, nimeshindwa!, mwenyewe nimeomba msamaha!.Mzee "imemtachi" tutakupelekea JAB sasa hivi. ahahahahaha