Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka Tanzania Bara

Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka Tanzania Bara

Mbona ni muda sana mchanga na kokoto vinatoka Tanganyika miradi inayoendelea huko Zanzibar vitu hivyo vinatoka Tanganyika
Halafu mbaya zaidi wanakuja kwa mbeleko ya Samia.

Wanavamia hadi maeneo ya hifadhi kuchana mbao na kuharibu mazingira.
 
Kama ni Nchi moja kwa nini wanatangaza mbona hakuna matangazo ya bidhaa kutoka Mbeya kwenda Tabora..
Na ili pia ni la kuuliza ? Huoni Wana Rais wao,serikal Yao,bajet Yao,katiba Yao, na vitambulisho vyao? Ile ni nchi nyingine ukiangalia katiba ya zanzibar r ya 1984
 
Back
Top Bottom