Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Mar 12, 2026 #41 matonyamswanu said: Kama mchanga ni wetu sote Mtanganyika kanunue ardhi Zanzibar kama utaruhusiwa. Nawaza kuwa tuendako Tanganyika itabomoka na kuharibiwa kabisa na Zanzibar kiuchumi, kiasi cha kwenda kukopa huko huko Zanzibar. Click to expand... Nchi ipo mikononi mwa maharamia.
matonyamswanu said: Kama mchanga ni wetu sote Mtanganyika kanunue ardhi Zanzibar kama utaruhusiwa. Nawaza kuwa tuendako Tanganyika itabomoka na kuharibiwa kabisa na Zanzibar kiuchumi, kiasi cha kwenda kukopa huko huko Zanzibar. Click to expand... Nchi ipo mikononi mwa maharamia.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 12, 2026 #42 Aiseeeee
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,793 Reaction score 6,569 Mar 12, 2026 #43 kijereshi said: Mbona ni muda sana mchanga na kokoto vinatoka Tanganyika miradi inayoendelea huko Zanzibar vitu hivyo vinatoka Tanganyika Click to expand... Halafu mbaya zaidi wanakuja kwa mbeleko ya Samia. Wanavamia hadi maeneo ya hifadhi kuchana mbao na kuharibu mazingira.
kijereshi said: Mbona ni muda sana mchanga na kokoto vinatoka Tanganyika miradi inayoendelea huko Zanzibar vitu hivyo vinatoka Tanganyika Click to expand... Halafu mbaya zaidi wanakuja kwa mbeleko ya Samia. Wanavamia hadi maeneo ya hifadhi kuchana mbao na kuharibu mazingira.
K kijereshi JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,169 Reaction score 1,573 Mar 13, 2026 #44 Kisima said: Halafu mbaya zaidi wanakuja kwa mbeleko ya Samia. Wanavamia hadi maeneo ya hifadhi kuchana mbao na kuharibu mazingira. Click to expand... Mbaya sana hii aise hafai hata kidogo
Kisima said: Halafu mbaya zaidi wanakuja kwa mbeleko ya Samia. Wanavamia hadi maeneo ya hifadhi kuchana mbao na kuharibu mazingira. Click to expand... Mbaya sana hii aise hafai hata kidogo
S Simba mundu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 1,343 Reaction score 1,679 Mar 16, 2026 #45 Isanga family said: Kama ni Nchi moja kwa nini wanatangaza mbona hakuna matangazo ya bidhaa kutoka Mbeya kwenda Tabora.. Click to expand... Na ili pia ni la kuuliza ? Huoni Wana Rais wao,serikal Yao,bajet Yao,katiba Yao, na vitambulisho vyao? Ile ni nchi nyingine ukiangalia katiba ya zanzibar r ya 1984
Isanga family said: Kama ni Nchi moja kwa nini wanatangaza mbona hakuna matangazo ya bidhaa kutoka Mbeya kwenda Tabora.. Click to expand... Na ili pia ni la kuuliza ? Huoni Wana Rais wao,serikal Yao,bajet Yao,katiba Yao, na vitambulisho vyao? Ile ni nchi nyingine ukiangalia katiba ya zanzibar r ya 1984