Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly!

===============

Update: 25/08/2021

kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu zaidi la pilili kwa Afrika ili kukuza utalii

The Zanzibar Domino tower
 
Nadhani siku ikitokea hivyo wazanzibari watafrai sana maana wanahisi hawafaidiki na lolote na huu Muungano wa kulazimishana, wanahisi huu Muungano umesimamishwa na kuwepo kwa nguvu za dola, sasa wakijiunga na Dubai alau watajikwamua kiuchumi
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!

nenda mwanakwetu nenda
 
Watakuwa wanaendeleza utamu wa parasitic relationship waliouzoea katika muungno. Wamekuwa wanapewa ajira za chee, umeme tunawalipia, wabunge wao tunawalipa stahili zote hadi za kamati, wajumbe wa katiba tunawalipia 300,000 na wao wanajiongezea 120,000/=, tunawazawadia ardhi ingawa tuko tayari kujitoa EAC kwa kukatalia ardhi hiyo hiyo, tunaikataa Tanganyika yetu sisi wenyewe n.k. Bila shaka wakijiunga U.A.E watapata mengi katika kulinda muungano wao.
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!

Ruksaaaaaaaa...........
 
Zanzibar hawana lolote la kuitisha tz. kwani wanajivunia nini? utalii?

1. kwasababu ya kumwagia watu tindikali na kulipua mabom makanisa, utalii unazidi kuporomoka na mahotel yanafungwa

2. hata wakiweka bandari ya bure (free port), watakuwa wanapeleka mizigo wapi? they are an island, na sisi tz tunajenga bandari ya bagamoyo na ile ya mtwara kwahiyo bandari ya zanzibar itakuwa useless. so, kenya inaweza kuwa competitor mkubwa wa tz kuliko zenji, na tz hatutapata hasara sana kama zenji itatutosa.

muungano ni wa muhimu kuendelea nao kwasababu tumeshaishi nao na kutengana ni kitu kibaya, lakini kama tukishindwana kabisa, kila mtu achukue hamsini zake, wao watapoteza zaidi kuliko sisi.

hata wakijiunga na saudi arabia au UAE, sisi hatuna hasara, zaidi sana inaweza kuwa faida kwetu.

hata hivyo, ni rahisi zaidi zanzibar kujiunga na mababu zao WAOMAN kuliko DUBAI.
 
Mbona Tanzania bara tumeungana na South Afrika ..bila kutangaza...Tumeungana na USA bila kutaka ushauri Tumeungana na China hadi kuchangia rasilimali zetu !!
Tuache unafiki wana siasa wanatazama masilahi binafsi...... hakuna wa kuwahoji.
 
Wajiunge tu.ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano
lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
nasi tumeungana na Afrika kusini bila kutangaza Je vipi?
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.
 
weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.
sasa content ya thread si ni maoni yangu mwenyewe au.?? Kuhusu hiyo title jishughulishe mwenyewe usilete uvivu hapa..

Its lyk saying "....mtoto kulia lia ovyo..." , "....Zanzibar kujiunga...", "..mtoto kuchapwa mara kwa mara..." etc.

kiswahili kigumu sana..
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
Akili za kitumwa kweli kweli, yaani wewe unazungumzia kuendelea auluendelezwa?

Wenye matope km yako hawachelewi kuwaza km fulani akimuoa dadaangu, maisha hapa home yatabadilika
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!

Aisee! Kuna mdogo wangu jana kaingia chimbo (Mgodini) kesho asubuhi akitoka tunakwenda kuyauza nikalipe mkopo wangu niliokopa leo! Jamaa nimemuhakikishia mdogo wangu akitoka chimbo tu namlipa hela zake, coz hela zake nimenunulia gari leo hii!
 
Wajiunge tu.ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano
lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha

Aisee!
 
Nadhani siku ikitokea hivyo wazanzibari watafrai sana maana wanahisi hawafaidiki na lolote na huu Muungano wa kulazimishana, wanahisi huu Muungano umesimamishwa na kuwepo kwa nguvu za dola, sasa wakijiunga na Dubai alau watajikwamua kiuchumi

kuwa tu muwazi kuwa mtafurahi sio watafurahi maana unaonekana unakereka sana na muungano
 
Aisee! Kuna mdogo wangu jana kaingia chimbo (Mgodini) kesho asubuhi akitoka tunakwenda kuyauza nikalipe mkopo wangu niliokopa leo! Jamaa nimemuhakikishia mdogo wangu akitoka chimbo tu namlipa hela zake, coz hela zake nimenunulia gari leo hii!

Sawa nimekuelewa.., Mod em' rekebisha hiyo title basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…