Nadhani siku ikitokea hivyo wazanzibari watafrai sana maana wanahisi hawafaidiki na lolote na huu Muungano wa kulazimishana, wanahisi huu Muungano umesimamishwa na kuwepo kwa nguvu za dola, sasa wakijiunga na Dubai alau watajikwamua kiuchumi
Watakuwa wanaendeleza utamu wa parasitic relationship waliouzoea katika muungno. Wamekuwa wanapewa ajira za chee, umeme tunawalipia, wabunge wao tunawalipa stahili zote hadi za kamati, wajumbe wa katiba tunawalipia 300,000 na wao wanajiongezea 120,000/=, tunawazawadia ardhi ingawa tuko tayari kujitoa EAC kwa kukatalia ardhi hiyo hiyo, tunaikataa Tanganyika yetu sisi wenyewe n.k. Bila shaka wakijiunga U.A.E watapata mengi katika kulinda muungano wao.
Nani kasema Z,bar wanalolote?Zanzibar hawana lolote la kuitisha tz. kwani wanajivunia nini? utalii?
Yamekujaje haya?1. kwasababu ya kumwagia watu tindikali na kulipua mabom makanisa, utalii unazidi kuporomoka na mahotel yanafungwa
Kabla ya Muungano walikuwa wakipeleka wapi?2. hata wakiweka bandari ya bure (free port), watakuwa wanapeleka mizigo wapi?
Kwani muungano unazuia kutendeka hayo?they are an island, na sisi tz tunajenga bandari ya bagamoyo na ile ya mtwara kwahiyo bandari ya zanzibar itakuwa useless.
Kumbe Zenji inawabeba!so, kenya inaweza kuwa competitor mkubwa wa tz kuliko zenji, na tz hatutapata hasara sana kama zenji itatutosa.
Enhe! Endelea..muungano ni wa muhimu kuendelea nao kwasababu tumeshaishi nao na kutengana ni kitu kibaya,
Watapoteza nini?lakini kama tukishindwana kabisa, kila mtu achukue hamsini zake, wao watapoteza zaidi kuliko sisi.
Tukianza kuongea maneno kama hayo, sijui tunaelekea wapi!hata wakijiunga na saudi arabia au UAE, sisi hatuna hasara, zaidi sana inaweza kuwa faida kwetu.
hata hivyo, ni rahisi zaidi zanzibar kujiunga na mababu zao WAOMAN kuliko DUBAI.
weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.
sasa content ya thread si ni maoni yangu mwenyewe au.?? Kuhusu hiyo title jishughulishe mwenyewe usilete uvivu hapa..
Its lyk saying "....mtoto kulia lia ovyo..." , "....Zanzibar kujiunga...", "..mtoto kuchapwa mara kwa mara..." etc.
kiswahili kigumu sana..
kuwa tu muwazi kuwa mtafurahi sio watafurahi maana unaonekana unakereka sana na muungano
Mnapenda sana Dezo. Mtakufa mkisubiri dezo. Go and work.Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
He who asserts, MUST PROOF
...
Mada kama hii ni mada ya uchochezi!
Na usikute hata hicho kichwa cha habari hakina ukweli wowote!
Good luck Zenji
Wazenji wanataka dezo. Wanafikiri kule Umangani kutakuwa kwao. Asalas. Dunia inaungana lakini WaTZ wanatengana.Tudumishe muungano bwana.., kila la kheri ndo nini..
hapo Tanganyika itatumia pesa yingi sana kuwapigia magoti wasihame ,na siku wakitangaza rasmi Watanganyike wajiandae kufunga mikanda kwani pesa yote itapotelea hapo hapoWatakuwa wanaendeleza utamu wa parasitic relationship waliouzoea katika muungno. Wamekuwa wanapewa ajira za chee, umeme tunawalipia, wabunge wao tunawalipa stahili zote hadi za kamati, wajumbe wa katiba tunawalipia 300,000 na wao wanajiongezea 120,000/=, tunawazawadia ardhi ingawa tuko tayari kujitoa EAC kwa kukatalia ardhi hiyo hiyo, tunaikataa Tanganyika yetu sisi wenyewe n.k. Bila shaka wakijiunga U.A.E watapata mengi katika kulinda muungano wao.
Cha kushangaza Tanganyika ndio yenye kuutaka Muungano kuliko Zanzibar. Kulikoni?
Tanganyika ni nini?
Mimi mtu wa bara na pwani na siutaki muungano, it's becoming too much of a nuisance, not worth the freaking paper it was signed on.
Wauvunjilie mbali tu tuone kama tutakufa kwa kukosa karafuu.