Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

Nadhani siku ikitokea hivyo wazanzibari watafrai sana maana wanahisi hawafaidiki na lolote na huu Muungano wa kulazimishana, wanahisi huu Muungano umesimamishwa na kuwepo kwa nguvu za dola, sasa wakijiunga na Dubai alau watajikwamua kiuchumi

Kwani uongo?
 
Watakuwa wanaendeleza utamu wa parasitic relationship waliouzoea katika muungno. Wamekuwa wanapewa ajira za chee, umeme tunawalipia, wabunge wao tunawalipa stahili zote hadi za kamati, wajumbe wa katiba tunawalipia 300,000 na wao wanajiongezea 120,000/=, tunawazawadia ardhi ingawa tuko tayari kujitoa EAC kwa kukatalia ardhi hiyo hiyo, tunaikataa Tanganyika yetu sisi wenyewe n.k. Bila shaka wakijiunga U.A.E watapata mengi katika kulinda muungano wao.

Wacha wee!
 
Zanzibar hawana lolote la kuitisha tz. kwani wanajivunia nini? utalii?
Nani kasema Z,bar wanalolote?
1. kwasababu ya kumwagia watu tindikali na kulipua mabom makanisa, utalii unazidi kuporomoka na mahotel yanafungwa
Yamekujaje haya?
2. hata wakiweka bandari ya bure (free port), watakuwa wanapeleka mizigo wapi?
Kabla ya Muungano walikuwa wakipeleka wapi?

they are an island, na sisi tz tunajenga bandari ya bagamoyo na ile ya mtwara kwahiyo bandari ya zanzibar itakuwa useless.
Kwani muungano unazuia kutendeka hayo?
so, kenya inaweza kuwa competitor mkubwa wa tz kuliko zenji, na tz hatutapata hasara sana kama zenji itatutosa.
Kumbe Zenji inawabeba!

muungano ni wa muhimu kuendelea nao kwasababu tumeshaishi nao na kutengana ni kitu kibaya,
Enhe! Endelea..
lakini kama tukishindwana kabisa, kila mtu achukue hamsini zake, wao watapoteza zaidi kuliko sisi.
Watapoteza nini?

hata wakijiunga na saudi arabia au UAE, sisi hatuna hasara, zaidi sana inaweza kuwa faida kwetu.
Tukianza kuongea maneno kama hayo, sijui tunaelekea wapi!
hata hivyo, ni rahisi zaidi zanzibar kujiunga na mababu zao WAOMAN kuliko DUBAI.

Aisee! Hapa nimeamini Tanzania wameungana CCM!
 
weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.

Mkuu labda aweke source kwenye kichwa cha habari!
Hayo maelezo yote ni mipango yake tu! Labda ajiacknowledge mwenyewe!
 
sasa content ya thread si ni maoni yangu mwenyewe au.?? Kuhusu hiyo title jishughulishe mwenyewe usilete uvivu hapa..

Its lyk saying "....mtoto kulia lia ovyo..." , "....Zanzibar kujiunga...", "..mtoto kuchapwa mara kwa mara..." etc.

kiswahili kigumu sana..

He who asserts, MUST PROOF
...
Mada kama hii ni mada ya uchochezi!
Na usikute hata hicho kichwa cha habari hakina ukweli wowote!
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly..!!
Mnapenda sana Dezo. Mtakufa mkisubiri dezo. Go and work.
 
He who asserts, MUST PROOF
...
Mada kama hii ni mada ya uchochezi!
Na usikute hata hicho kichwa cha habari hakina ukweli wowote!

Bado hujanielewa.., kichwa cha habari kinaelezea 'Hali" hakielezei 'tukio'.., simaanishi zenj wanataka kufanya 'kitendo' cha kujiunga.., bali naelezea 'hali' ya wao kujiunga na matokeo yake kwa bara. Hivi kiswahili ni kigumu au ndio akina Mulugo mmejazana tu humu..??!!!
 
Watakuwa wanaendeleza utamu wa parasitic relationship waliouzoea katika muungno. Wamekuwa wanapewa ajira za chee, umeme tunawalipia, wabunge wao tunawalipa stahili zote hadi za kamati, wajumbe wa katiba tunawalipia 300,000 na wao wanajiongezea 120,000/=, tunawazawadia ardhi ingawa tuko tayari kujitoa EAC kwa kukatalia ardhi hiyo hiyo, tunaikataa Tanganyika yetu sisi wenyewe n.k. Bila shaka wakijiunga U.A.E watapata mengi katika kulinda muungano wao.
hapo Tanganyika itatumia pesa yingi sana kuwapigia magoti wasihame ,na siku wakitangaza rasmi Watanganyike wajiandae kufunga mikanda kwani pesa yote itapotelea hapo hapo
 
Zanzibar ni Bora wahamie huko angalau Pesa za kuwalea zinazotoka Tanganyika zitapona na kutumika kuinua Uchumi na huduma za jamii
 
Wacha longo longo, Zanzibar and Tanganyika kujiunga EAC.
 
Cha kushangaza Tanganyika ndio yenye kuutaka Muungano kuliko Zanzibar. Kulikoni?
 
Cha kushangaza Tanganyika ndio yenye kuutaka Muungano kuliko Zanzibar. Kulikoni?

Tanganyika ni nini?

Mimi mtu wa bara na pwani na siutaki muungano, it's becoming too much of a nuisance, not worth the freaking paper it was signed on.

Wauvunjilie mbali tu tuone kama tutakufa kwa kukosa karafuu.
 
Natamani uvunjike na tuone kama wa Zanzibari watakufa kwa kukosa viazi ulaya.
 
Back
Top Bottom