Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

Kwa idadi ya wazanzibar walivyo wengi huku Tanganyika sijui itakuaje ..

Na kile kisiwa kilivyo hakitoshi mahitaji .
 
Zanzibar na wao wagawe bandari zote kwa UAE kama ilivyofanyika kwa Bara
 
Anayefaidika na huu muungano ukiachilia maneno ya machawa ni nani?
Kama Kuna raia toka bara anayefaidika na muungano aseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…