Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly!

===============

Update: 25/08/2021

Naona Dubai wamefuata ushauri, wameanza ‘kuichukua’ taratibu, kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu zaidi la pilili kwa Afrika ili kukuza utalii

View attachment 1908001
The Zanzibar Domino tower
Ma shaa Allah.
 
Wajiunge tu ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano, lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Umeona eenhh?!.Ukisikia kuuzwa kibabe kwa Wadanganyika ndio huku sasa.
 
Hawa kwakeli wajiunge tu nao watuache Tanganyika tupambane wenyewe...
 
Wajiunge tu ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano, lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Muungano wao ni kuchukua bandari za Tanganyika tu, hamna lolote la maana
 
Wajiunge tu ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano, lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Tajiri tarmpu aliwa sema kuwa masikini akili yake inawaza kula tu na wanawake badi,na chuki na roho mbaya hayo ndio mawazo ya fukara
 
Zanzibar hawana lolote la kuitisha tz. kwani wanajivunia nini? utalii?

1. kwasababu ya kumwagia watu tindikali na kulipua mabom makanisa, utalii unazidi kuporomoka na mahotel yanafungwa

2. hata wakiweka bandari ya bure (free port), watakuwa wanapeleka mizigo wapi? they are an island, na sisi tz tunajenga bandari ya bagamoyo na ile ya mtwara kwahiyo bandari ya zanzibar itakuwa useless. so, kenya inaweza kuwa competitor mkubwa wa tz kuliko zenji, na tz hatutapata hasara sana kama zenji itatutosa.

muungano ni wa muhimu kuendelea nao kwasababu tumeshaishi nao na kutengana ni kitu kibaya, lakini kama tukishindwana kabisa, kila mtu achukue hamsini zake, wao watapoteza zaidi kuliko sisi.

hata wakijiunga na saudi arabia au UAE, sisi hatuna hasara, zaidi sana inaweza kuwa faida kwetu.

hata hivyo, ni rahisi zaidi zanzibar kujiunga na mababu zao WAOMAN kuliko DUBAI.
Umeandika vizuli tatizo unachanganya na chuki,bila kusukumwa na chuki nimuandishi mzuli unajua kufafanua tatizo lako ndio hilo ukiwacha roho ya kukunja utafika mbali sana hipo siku utanikumbuka
 
weka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.
Chuki tulio nayo baadhi yetu kwa wazanzibari hata aweke ushahidi hata wabadirisha,rukuvi alijisahau akasema Zanzibar tukiwaacha peke yao uisilamu utashamili na waarabu watarudi,chuki iliopo tanganyika na Zanzibar ni kubwa mioyoni mwa wayanganyika
 
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly!

===============

Update: 25/08/2021

Naona Dubai wamefuata ushauri, wameanza ‘kuichukua’ taratibu, kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu zaidi la pilili kwa Afrika ili kukuza utalii

View attachment 1908001
The Zanzibar Domino tower
Zanzibar wapewe uhuru wao wajitawale.

Maendeleo yatakuja kwa kasi kubwa kanda hii ya mashariki
 
Zanzibar wapewe uhuru wao wajitawale.

Maendeleo yatakuja kwa kasi kubwa kanda hii ya mashariki
Kwa sasa baadhi ya wayanganyika na wabunge wanasema wazanzibar wantegemea kodi zetu,hapa hapa wakitaka kujitenga kuvunja muungano hao wanasiasa hawataki pamoja nabaadhi ya raiya

Mfano kipindi hiki cha Husein mwinyi Zanzibar wamepata mikopo misaada mingi tu na wawekezaji bado wayanganyika roho zachuki zinadhihiri mfano wanataka kujiunga na nchi za kiarabu angali kometi zinavio onyesha chuki baadhi yetu watanganyika kuna jambo lililo jificha kwenye mioyo yetu hii chuki sio ya kawaida jamani ukweli tuuseme
 
Naungana na wewe kwa asilimia 100% .

Zanzibar inahitaji kusikilizwa hususan linapokuja suala la maendeleo.

Kama tunashindwa kuwapatia uhuru wao basi tutekeleze kila sharti la Mkataba ws Muungano kisipungue hata kitu kimoja.

Kelele za chuki kutoka bara zinaumiza sana udugu uliopo kati ya visiwani na bara.

Umeongea ukweli mwingi
 
Back
Top Bottom