Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni kukaribisha magaidi sasa
Wewe ndiye ufiche ujinga wako. Unataka magaidi waingie Tanzania kupitia huo muungano uchwara!Ficha ujinga wako
Baraghashia:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
Wanaungana kwa unasaba upi? Au ndio yale ya Comoro na Ufaransa?
Ma shaa Allah.Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly!
===============
Update: 25/08/2021
Naona Dubai wamefuata ushauri, wameanza ‘kuichukua’ taratibu, kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu zaidi la pilili kwa Afrika ili kukuza utalii
Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda
Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...www.jamiiforums.com
View attachment 1908001
The Zanzibar Domino tower
Umeona eenhh?!.Ukisikia kuuzwa kibabe kwa Wadanganyika ndio huku sasa.Wajiunge tu ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano, lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Inaumiza sanaUmeona eenhh?!.Ukisikia kuuzwa kibabe kwa Wadanganyika ndio huku sasa.
Hawewezi. Tutawatawala kwa nguvu. Hapa ndipo Zanzibar na Pemba zitageuka wilaya kama wilaya nyingineNi suala la muda tu, wakishatufilisi na kuuza kila kitu kwa waarabu hawa, na kutuachia madeni yasiyolioika, utasikia wamejitoa kwenye Muungano.
Muungano wao ni kuchukua bandari za Tanganyika tu, hamna lolote la maanaWajiunge tu ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano, lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Kwa kweli, this is getting out of handKuna haja ya kutumia ile mbinu ya Russia kwa Ukraine.
Tajiri tarmpu aliwa sema kuwa masikini akili yake inawaza kula tu na wanawake badi,na chuki na roho mbaya hayo ndio mawazo ya fukaraWajiunge tu ila na huo ndio uwe mwisho wa muungano, lakini huo uwekezaji wao sisi watanganyika autotufaidisha na lolote zaidi ya kulipuliwa na mabomu maana sasa watakuwa na wafadhili wa kutosha
Umeandika vizuli tatizo unachanganya na chuki,bila kusukumwa na chuki nimuandishi mzuli unajua kufafanua tatizo lako ndio hilo ukiwacha roho ya kukunja utafika mbali sana hipo siku utanikumbukaZanzibar hawana lolote la kuitisha tz. kwani wanajivunia nini? utalii?
1. kwasababu ya kumwagia watu tindikali na kulipua mabom makanisa, utalii unazidi kuporomoka na mahotel yanafungwa
2. hata wakiweka bandari ya bure (free port), watakuwa wanapeleka mizigo wapi? they are an island, na sisi tz tunajenga bandari ya bagamoyo na ile ya mtwara kwahiyo bandari ya zanzibar itakuwa useless. so, kenya inaweza kuwa competitor mkubwa wa tz kuliko zenji, na tz hatutapata hasara sana kama zenji itatutosa.
muungano ni wa muhimu kuendelea nao kwasababu tumeshaishi nao na kutengana ni kitu kibaya, lakini kama tukishindwana kabisa, kila mtu achukue hamsini zake, wao watapoteza zaidi kuliko sisi.
hata wakijiunga na saudi arabia au UAE, sisi hatuna hasara, zaidi sana inaweza kuwa faida kwetu.
hata hivyo, ni rahisi zaidi zanzibar kujiunga na mababu zao WAOMAN kuliko DUBAI.
Chuki tulio nayo baadhi yetu kwa wazanzibari hata aweke ushahidi hata wabadirisha,rukuvi alijisahau akasema Zanzibar tukiwaacha peke yao uisilamu utashamili na waarabu watarudi,chuki iliopo tanganyika na Zanzibar ni kubwa mioyoni mwa wayanganyikaweka source ndugu yetu, si unaona watu wameshaanza kashfa kwa zanzibar, unajua ukiweka source au evidence watu watakuheshimu zaidi, vinginevyo inaonekana ni majungu.
Zanzibar wapewe uhuru wao wajitawale.Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly!
===============
Update: 25/08/2021
Naona Dubai wamefuata ushauri, wameanza ‘kuichukua’ taratibu, kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu zaidi la pilili kwa Afrika ili kukuza utalii
Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda
Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...www.jamiiforums.com
View attachment 1908001
The Zanzibar Domino tower
Kwa sasa baadhi ya wayanganyika na wabunge wanasema wazanzibar wantegemea kodi zetu,hapa hapa wakitaka kujitenga kuvunja muungano hao wanasiasa hawataki pamoja nabaadhi ya raiyaZanzibar wapewe uhuru wao wajitawale.
Maendeleo yatakuja kwa kasi kubwa kanda hii ya mashariki
Naungana na wewe kwa asilimia 100% .Kwa sasa baadhi ya wayanganyika na wabunge wanasema wazanzibar wantegemea kodi zetu,hapa hapa wakitaka kujitenga kuvunja muungano hao wanasiasa hawataki pamoja nabaadhi ya raiya
Mfano kipindi hiki cha Husein mwinyi Zanzibar wamepata mikopo misaada mingi tu na wawekezaji bado wayanganyika roho zachuki zinadhihiri mfano wanataka kujiunga na nchi za kiarabu angali kometi zinavio onyesha chuki baadhi yetu watanganyika kuna jambo lililo jificha kwenye mioyo yetu hii chuki sio ya kawaida jamani ukweli tuuseme