MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Tena wawahi!Hatumae aliyewazalisha wapemba amekufa kabla wajukuu zake kumpokea jwa mara ya mwisho. Haya msiba upo Oman muende sasa kumzika babu yenu alwatan Bin Said.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wawahi!Hatumae aliyewazalisha wapemba amekufa kabla wajukuu zake kumpokea jwa mara ya mwisho. Haya msiba upo Oman muende sasa kumzika babu yenu alwatan Bin Said.
Usultani wa Oman na ule wa Zanzibar ulitengana Kwa miaka mingi sana kabla ya mapinduzi, ndiyo maana hiyo alipopinduliwa hakurudi Oman.Kwa msiojua, Zanzibar ndiyo ilikuwa makao makuu ya Sultani wa Omani na Zanzibar, Jamshid bin Abdullah Al Busaidi kabla ya kutimuliwa na Field Marshal wa Zanzibar na Pemba, John Okello.
Aliapa kurudi hata ikichukua miaka mia na kweli sasa, baada ya miaka 60, anarudi...karibu sana Ex-Sultani wa Omani na Zanzibar.
In other words; Wazanzibari hawakuyafurahia mapinduzi and hence wana mapinduzi kwao ni kama mahaini? Why tunaendelea kusherehekea siku ya mapinduzi 12 January?
So wananchi wa kawaida wanatamani kutawaliwa na mwarabu?CCM mkuu ndio wanaosherekea mapinduzi, Mapinduzi ya Zanzibar yalifanya na CCM (ASP) na ndio wanaoyaadhimisha kila mwaka, wananchi wakawaida hawana habari nayo kabisa zaidi ya kuyalaani.
We ni lijinga fulani.Mkuu unaijua Zanzibar kweli? mapenzi yao kwa huyo SUltan ni makubwa sana na zaidi wakiyafikiria miaka 60 ya utawala wa CCM wanazidi kuvurugwa
We ni lijinga fulani.
Wazanzibari wana mapenzi na Ex Sultan ambaye utawala wake uliondoshwa na wazanzibari hao hao 1964.
Tena kwa cisu, mapanga na risasi?
Unaijua historia weye?
So wananchi wa kawaida wanatamani kutawaliwa na mwarabu?
Kama una mshipa waondoshe basi hao watanganyika na wapuuzi unaowajua, kama tako lako litabaki salama.Utawala wa Usultni haukuondoshwa na wazanzibar, bali na watanganyika wakisidiwa na wapuuzi wachache
Kwani anaezungumziwa hapo ni Mmakonde? Halafu can't you think outside of religious boundaries?Kwanini akili za kigalatia zinawaza muarabu tu?
hahah mbona somalia 99% “waislamu wenzako” wanapigwa kila siku na guess who? saudi arabia, anayefund al shabaab kuuwa waislamu somalia ni saudi arabia “muislamu mwenzako”, anayeuwa na kutesa waislamu yemeni ni saudia na emir wa emitate pia “ waislamu wenzanko” mbona hapachimbiki? mashehe kibao walifungwa wakati wa awamu ya 4 na “muislamu mwenzako” mbona haukupachimba?
wewe ndio una akili ya mbuzi, umesoma vizuri nilicho kiandika?Mada imekuja tarehe 28/12/2024, na Jamshid amekufa tarehe 30/ 12/ 2024.
Bado unajiona una akili kwa ukichoandika?
Nimesoma sehemu John Okello kilichofanya kufukuzwa Zanzibar,Tanganyika,Kenya hadi kuuwawa na Iddi Amini ni mdomo wake.Amin alimpa uwaziri akakataa akamuahidi umakamu wa rais akakataa akawa anataka kuwa yeye ndio raisi Amini akaona sasa hii ni shidaKwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.