Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Usultani wa Oman na ule wa Zanzibar ulitengana Kwa miaka mingi sana kabla ya mapinduzi, ndiyo maana hiyo alipopinduliwa hakurudi Oman.
 
In other words; Wazanzibari hawakuyafurahia mapinduzi and hence wana mapinduzi kwao ni kama mahaini? Why tunaendelea kusherehekea siku ya mapinduzi 12 January?

CCM mkuu ndio wanaosherekea mapinduzi, Mapinduzi ya Zanzibar yalifanya na CCM (ASP) na ndio wanaoyaadhimisha kila mwaka, wananchi wakawaida hawana habari nayo kabisa zaidi ya kuyalaani.
 
CCM mkuu ndio wanaosherekea mapinduzi, Mapinduzi ya Zanzibar yalifanya na CCM (ASP) na ndio wanaoyaadhimisha kila mwaka, wananchi wakawaida hawana habari nayo kabisa zaidi ya kuyalaani.
So wananchi wa kawaida wanatamani kutawaliwa na mwarabu?
 
Mkuu unaijua Zanzibar kweli? mapenzi yao kwa huyo SUltan ni makubwa sana na zaidi wakiyafikiria miaka 60 ya utawala wa CCM wanazidi kuvurugwa
We ni lijinga fulani.
Wazanzibari wana mapenzi na Ex Sultan ambaye utawala wake uliondoshwa na wazanzibari hao hao 1964.
Tena kwa cisu, mapanga na risasi?
Unaijua historia weye?
 
We ni lijinga fulani.
Wazanzibari wana mapenzi na Ex Sultan ambaye utawala wake uliondoshwa na wazanzibari hao hao 1964.
Tena kwa cisu, mapanga na risasi?
Unaijua historia weye?

Utawala wa Usultni haukuondoshwa na wazanzibar, bali na watanganyika wakisidiwa na wapuuzi wachache
 

Israel na nchi za magharibi zinawachezea akili, na bado wanaendelea kuwachezea mpaka pale mtakapo zinduka
 
Akili za mtu mweusi.. kwa hiyo hakuna 'mapinduzi matukufu'.. fikra za kitumwa
 
Mada imekuja tarehe 28/12/2024, na Jamshid amekufa tarehe 30/ 12/ 2024.

Bado unajiona una akili kwa ukichoandika?
wewe ndio una akili ya mbuzi, umesoma vizuri nilicho kiandika?
 
Kwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.
Nimesoma sehemu John Okello kilichofanya kufukuzwa Zanzibar,Tanganyika,Kenya hadi kuuwawa na Iddi Amini ni mdomo wake.Amin alimpa uwaziri akakataa akamuahidi umakamu wa rais akakataa akawa anataka kuwa yeye ndio raisi Amini akaona sasa hii ni shida
Bahati yake kabila la Lango na Acholi Amini alikuwa anawaua lakini huyu jamaa alikuwa ana m spear
Akakamatwa anasema mimi ni Field Marshall John Okelo akaliwa kichwa
Mdomo uliponza kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…